SAMIA MUST GOKatibu mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesisitiza kuwa ni lazima Rais Samia aondolewe madarakani katika Uchaguzi Mkuu ujao. Mnyika anasema kuwa Rais ameshindwa kusikiliza sauti za wananchi na Jumuiya za Kimataifa, ambao wamepaza sauti kuhusu tishio la amani nchini kufuatia kifo cha Ally Kibao, akiongeza kwamba mchakato wa kumuondoa Rais Samia lazima uanze na kuwaondoa CCM katika kila nyanja. Mnyika anaweka wazi kuwa kuna hitaji la mabadiliko ili kuhakikisha demokrasia na amani vinapatikana nchini.
Video: Jambo TV
Pia, Soma:
Chadema Kwa vichekesho Mko level nyingine.Katibu mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesisitiza kuwa ni lazima Rais Samia aondolewe madarakani katika Uchaguzi Mkuu ujao. Mnyika anasema kuwa Rais ameshindwa kusikiliza sauti za wananchi na Jumuiya za Kimataifa, ambao wamepaza sauti kuhusu tishio la amani nchini kufuatia kifo cha Ally Kibao, akiongeza kwamba mchakato wa kumuondoa Rais Samia lazima uanze na kuwaondoa CCM katika kila nyanja. Mnyika anaweka wazi kuwa kuna hitaji la mabadiliko ili kuhakikisha demokrasia na amani vinapatikana nchini.
Video: Jambo TV
Pia, Soma:
Mnasikia raha mkiona na kusikiaSio maandamano ya Samia must go tena? ππππ
Nani Sasa ambae hatakiwi kuamshwa? CCM au Chadomo?Usimuamshe aliyelala
Kuikubali sasa wao ndiyo mtihaniSisiemu haiondolewi kwa karatasi...Katiba mpya ndiyo suluhisho.
Kwa nini umsikie Raha?Mnasikia raha mkiona na kusikia
Watu wakiuliwa siyo
Ova
Umekasirika πmisukule ya mzee mbowe bana na bado ,mama kuna yule mpuuzi wa Arusha na huyu mzee Mbowe ni lazima washugulikiwe haswaa
Sasa mbona viongozi wake wanatekwa na kuuliwa?.......dalili za uoga hizo πManeno ya kukata tamaa chama kimedumaa!
Hata wewe utang'ooka.Mnyika anadhani kila Kiongozi atamchukulia Poa kama alivyopuuzwa na JK πΌ
Wanawateka wenyewe!Sasa mbona viongozi wake wanatekwa na kuuliwa?.......dalili za uoga hizo π
Wapiga kura wa Tanzania siyo genge la wachaga wa cdm.Unadhani genge la wachagga wa cdm wanayo hiyo nguvu?
Sasa hivi tunavyoongea ungekuta wamo ndani kwa kulichafua jeshi la polisi......hakika nakuakikishia hakuna kitu kama hicho.......Wanawateka wenyewe!
Njia rahisi ya kiongozi kuondolewa madarakani ni kuteka watu na kuua hovyo ama kufumbia macho vurugu na mauaji ya raia.Wanawateka wenyewe!