Safi myika lakini maandamano yapo palepale Sept 23Katibu mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesisitiza kuwa ni lazima Rais Samia aondolewe madarakani katika Uchaguzi Mkuu ujao. Mnyika anasema kuwa Rais ameshindwa kusikiliza sauti za wananchi na Jumuiya za Kimataifa, ambao wamepaza sauti kuhusu tishio la amani nchini kufuatia kifo cha Ally Kibao, akiongeza kwamba mchakato wa kumuondoa Rais Samia lazima uanze na kuwaondoa CCM katika kila nyanja. Mnyika anaweka wazi kuwa kuna hitaji la mabadiliko ili kuhakikisha demokrasia na amani vinapatikana nchini.
Video: Jambo TV
Pia, Soma:
Katibu mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesisitiza kuwa ni lazima Rais Samia aondolewe madarakani katika Uchaguzi Mkuu ujao. Mnyika anasema kuwa Rais ameshindwa kusikiliza sauti za wananchi na Jumuiya za Kimataifa, ambao wamepaza sauti kuhusu tishio la amani nchini kufuatia kifo cha Ally Kibao, akiongeza kwamba mchakato wa kumuondoa Rais Samia lazima uanze na kuwaondoa CCM katika kila nyanja. Mnyika anaweka wazi kuwa kuna hitaji la mabadiliko ili kuhakikisha demokrasia na amani vinapatikana nchini.
Video: Jambo TV
Pia, Soma:
Hata mumeo lazima atashughulikiwamisukule ya mzee mbowe bana na bado ,mama kuna yule mpuuzi wa Arusha na huyu mzee Mbowe ni lazima washugulikiwe haswaa
Karibu
Kwanza siyo mwenzetu ni mzanzibarKwa utekaji na mauaji yanayoendelea, na kwa hotuba aliyoitoa Raisi Samia, anatakiwa kuondolewa madarakani uchaguzi ujao.
Naunga mkono hoja.
Kwamba bara kati ya watu 61M hakuna isipokuwa tuendelee kukopa wa kutuongoza?HALAFU MNAMUWEKA NANI ALIYE TAYARI KUONGOZA NCHI AU MNAKURUPUKA TU ?
Mamlaka yoyote hutoka kwa Wananchi. Sasa kama wananchi hatujui hilo wao wafanyaje. Ni kutupora haki yetu hiyo.Kwamba bara kati ya watu 61M hakuna isipokuwa tuendelee kukopa wa kutuongoza?
Tunaanza na serikali za mitaa mwaka huu. Tunawaondolea mbaliMwakani tupige kura kwa wingi aondoke huyu bibi katili
This time hakuna namna hatutaki kuongozwa na mtu wa kuazimwa kutoka nchi nyingineMamlaka yoyote hutoka kwa Wananchi. Sasa kama wananchi hatujui hilo wao wafanyaje. Ni kutupora haki yetu hiyo.
Kabisa nusu yao waondokeTunaanza na serikali za mitaa mwaka huu. Tunawaondolea mbali
Kumbe ukivimbiwa maharage majibu yako ndio yanakuwa hayo!Njia rahisi ya kiongozi kuondolewa madarakani ni kuteka watu na kuua hovyo ama kufumbia macho vurugu na mauaji ya raia.
Nyie jibuni kunya tu kama vile mmevimbiwa maharage.
Neno gumu sana hili.Labda kama Mungu amekufa!
Hili wapinzani wanalisahau sana,tume hii hii ?Kwa Tume ipi ya uchaguzi?!
Wewe ni Mungu , acheni utoto mnawaalibu wazee kama mzee wangu LukuviSamia hadi 2035