MMNhhhh ndipo hapo napomchoka Magufuli na serikali yake….
Kuna tusi hapo kwa akili yako?Tweet yake ya jana saa 11:14View attachment 1088479
Aadhibiwe kwa mujibu wa sheria siyo kihuni.Halafu mbona hizo adhabu zipo kwa baadhi ya watu tu?Lugha za staha ni muhimu sana. Ukionywa onyeka basi. Katika hali hii hamna haja ya kuficha ficha nadhani asiye na staha ifike mahali aadhibiwe hadharani.
Heri kutukanwa kuliko kuibiwa!Huyu kijana ana matusi sana..nadhan hakupata malezi mazuri
Sheria inasemaje kama hana adabu au ndo adhabu yake kutekwa? #ruleoflawHuyu kijana ana matusi sana..nadhan hakupata malezi mazuri
binafsi ningesogea kiungwana...ningepara ushahidj hata wa namba za gari tu.
Kwa mfano wewe unaweza kumwambia babaako kua wewe baba ni tapeli?Kuna tusi hapo kwa akili yako?
Unajua kuna levo za kuongea nazo kimasihara lakini siyo kama huyo, jinsi unavomheshimu babaako ndo hivo hivo na huyo anatakiwa aheshimiwe hivo hata akiwa mpole huwezi kumuongelea maneno makali namna hiyo.Kuna tusi hapo kwa akili yako?
Nissan ya Mbowe baada ya kumshughulikia Lisu kwa jina bandia imerudi kivingine tena?
Nissan ya Mbowe baada ya kumshughulikia Lisu kwa jina bandia imerudi kivingine tena?
Nissan ya Mbowe baada ya kumshughulikia Li
Huyu kijana ana matusi sana..nadhan hakupata malezi mazuri
Sheria zipo wazi kabisa mtu akimtukana mwingine anafunguliwa mashtaka mahakamani ili akajibu tuhuma hizo, lakini kumfanyia 'u-bokoharam' huo ni uasi-sheria. "ukiua kwa upanga utauawa kwa upanga". Na watu wote weseme amina.Huyu kijana ana matusi sana..nadhan hakupata malezi mazuri
kwa mdude sitoshangaa kwa lolote baya litakalompata. jamaa ana ujasiri wa ajabu wa kuandika captions zenye utata kuhusu utawala wa jiwe
Hakunaga kitu kama hicho mkuu. wewe jichanganye uchafue utawala wa nchi alafu usubiri tundu lisu akutetee mahakamani ndipo utajua kwanini TISS wapoSheria zipo wazi kabisa mtu akimtukana mwingine anafunguliwa mashtaka mahakamani ili akajibu tuhuma hizo, lakini kumfanyia 'u-bokoharam' huo ni uasi-sheria. "ukiua kwa upanga utauawa kwa upanga". Na watu wote weseme amina.