John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

Hivi mdude chadema alikua bado TZ? Yule wa U.S alikua ni kaka ke?
 
Kumbe hilo jina MDUDE ni jina lake official nilijua ni nickname
 

True wamezidi kulialia sana,Dawa ya shetani ni moto.Hadi wakuteke pamechimbika hasa Kama Mkurya wa Tarime.
 
Nissan ya Mbowe baada ya kumshughulikia Lisu kwa jina bandia imerudi kivingine tena?
Hapo ina maanisha kwamba Mbowe anaongoza kitengo kisichoguswa na serikali au ndio akiliccm zinayoongoza kichwa?
 
Nissan ya Mbowe baada ya kumshughulikia Lisu kwa jina bandia imerudi kivingine tena?
We bila shaka unahamu ya kukatikiwa.. Utakipata tu.... Watu tuko serious unaleta mambo ya kichoko..... Uchi wako
 
Reactions: Qwy
Nissan ya Mbowe baada ya kumshughulikia Lisu kwa jina bandia imerudi kivingine tena?
Vita ya uenyekiti wa chama itamaliza wengi.
Mbona hamtak uchunguzi huru mnakwama wap aise
 
Hakuna chama dhaifu na ovyo kama CHADEMA. Hii ifikie hatua wanachama wakiache maana hakina mikakati ya kuwapambania wanachama wake. Na kwa mwenendo huu mtaisha. Haiingii akilini mambo mnayotendewa mnakimbilia kulialia kwenye mitandao. Dawa ya moto ni moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…