Johnthebaptist amevunjwa vunjwa miguu kama Tundu Lissu

T
Tujifunze tu kuheshimu mitazamo tofauti ya wengine. Yaani unaanzisha kabisa mada sababu mtu ana mawazo tofauti na wewe!
Tunapinga udikteta lakini tunataka muda wote watu wawaze na kama sisi.
 
Huelewi maana ya udikteta wewe.
T

Tujifunze tu kuheshimu mitazamo tofauti ya wengine. Yaani unaanzisha kabisa mada sababu mtu ana mawazo tofauti na wewe!
Tunapinga udikteta lakini tunataka muda wote watu wawaze na kama sisi.
 
johnthebaptist
 
Kama Humphrey Polepole na Bashiru wamezimwa,sembuse huyu ''MATAGA'' Waheedi,mpiga zeze na zumari,buku7 wa Lumumba? 🤣 🤣 🤣
 
Siku hizi huyo bwana anatusumbua sana huku mtaani, kila mara dish linacheza tangu alivyoondokewa na Jiwe imekuwa tabu!
 
Usimcheke, bali umhurumie. Maana nyakati nyingine tunalazimika kupitia kipindi kigumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…