Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #81
Hata Jiwe nayeKuzindua Chuo si hoja ,mbona hata kile cha KIVUKONI ni chao na wakashindwa kupata viongozi waadirifu!!! Wakaambulia kuokoteza wakina Sabaya na Bashite!!! Gabbage in Gabbage out!!
Ni jumuiko la kuchangia chama chao kwa kishindo , masaa mawili tu 15bil .Join the Chain campaign inamaanisha nini, lengo lake ni lipi nifahamisheni
TANESESEUMU,umenikumbusha siku tunaanzisha vuguvugu la vyama VINGI pale diamond hall tanesco walitukatia umemeTanesco Msikate Umeme, tafadhalini sana.
Hakika !CCM na Police wao leo wamejifunza kitu.
UpuuziUkiacha habari za uvamizi wa Urusi huko Ukraine, Habari nyingine kubwa ni hii inayoitwa JOIN THE CHAIN iliyoletwa na CHADEMA Tanzania, Huu ni mkusanyiko mzito kuwahi kufanywa na Chadema tangu kuundwa kwake.
Wakati muda ukisubiriwa kwa hamu na wadau wa ndani na nje ya nchi hii hapa ndio hali halisi huko mikoani nchini Tanzania.
Tabora:
View attachment 2130727
Mtwara:
View attachment 2130729
Jinsi ya kufuatilia tukio kubwa la JOIN THE CHAIN , Ni rahisi sana .
YOUTUBE - CHADEMA MEDIA
CLUB HOUSE - CHADEMA TANZANIA
TWITTER - CHADEMA - TZ
FACEBOOK - CHADEMA IN BLOOD
Ukiingia humo tu umejiunga live bila chenga .
Kuanzia saa 10 kamili kwa saa za Tanzania .
Masaa mawili bil 15 ni upuuzi ?Upuuzi
Yuko wapi huyo Slaa sasa ?CHADEMA iliyotikisa nchi ile ya wakati ule Dr Slaa! Wakaja kupotea njia baada ya kuingia tamaa ya kuitaka dola kupitia kwa Lowassa.
Au nasema uongo zangu
Kipo tayari ila hakitajwi kuogopa hujumahongera fungueni chuo cha TEHAMA
🤣🤣🤣🤣🤣CCM na Police wao leo wamejifunza kitu.
Maajabu ni pale chama kikongwe kinapotumia njia za kiharamia kubakia madarakani kwa msaada wa vyombo vya dola.Ni jumuiko la kuchangia chama chao kwa kishindo , masaa mawili tu 15bil .
Wao wanaamini Itikadi inaishi Rohoni sio kwenye ofisi kwani cha umuhimu kwao ni somo la uraia na Itikadi kwanza sio majengoNi aibu kwa CHADEMA kuendelea kupanga pale uchochoroni mtaa wa ufipa.....
Hivi wanashindwaje "kuJOIN THE CHAIN"kwa kuipiga harambee ya kujenga ofisi zenye hadhi ama wanaogopa kuwa "YULE ASIYEPINGWA" atazitafuna tu fedha hizo kama kawaida yake?!!! [emoji1787][emoji1787]
Tunalirekebisha wakati tumeshachelewa kwani utegemee kwa huu uongozi wa kutegemea kilichoiva na kukichuma,misaada na mikopo hatuna jipya kwa watanzania wa leoHili ni kosa la kiufundi kwa CCM. Uwawie radhi wameshaanza kulirekebisha.
[emoji38][emoji38][emoji38]Tunalirekebisha wakati tumeshachelewa kwani utegemee kwa huu uongozi wa kutegemea kilichoiva na kukichuma,misaada na mikopo hatuna jipya kwa watanzania wa leo
Mpaka mfumuko wa bei na swala create ajira limetushinda wakati nchi imejaa njia nyingi za kuuondoa huu mkwamo ambao chama changu kimeshindwa kuliangalia.
Wamechanganyikiwa .Kazi imeanza....mperampera