Sio Kama hatabadilikaUbalozi tena, Sema Uwaziri Mkuu au Uraisi hapo baadae.
Na anastahiri ni Msomi ana Nidhamu na Juhudi ya kazi.
Ki ufupi yuko vizuri kama hata badilika.
Binafsi Nampongeza.
Lucas atasugua sana bench hadi makalio yaote sigdaLucas Mwa........ yupo au bado amelala!
Yuko vizuri Mkuu.We unamahaba na huyo dada
Ubalozi tena, Sema Uwaziri Mkuu au Uraisi hapo baadae.
Na anastahiri ni Msomi ana Nidhamu na Juhudi ya kazi.
Ki ufupi yuko vizuri kama hata badilika.
Binafsi Nampongeza.
Katika kikao hicho, Kamati Kuu kimemteua Ndugu Jokate Mwegelo, kuwa
Katibu Mkuu wa UWT, kabla ya uteuzi huo Ndugu Mwegelo alikuwa ni Mkuu
wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga.
Uwaziri mkuu na urais? Man tukubaliane kuna nafasi nyeti nchi hii si za kupachika watu ilimradi.
Simchukii ila hizo nafasi hato gusa,migumo ya nchi hii inafanya kazi kwa utofauti sana
Kwamba baada ya uteuzi huu, Jokate hatendelea kuwa mkuu wa Wilaya au mwandishi wa taarifa hiyo hana uelewa wa lugha ya Kiswahili...
Najaribu kuelewa kama uteuzi wa kichama unaweza mvua mtu madaraka ya uteuzi aliyopewa na Rais...
DaaaahKama akina Kinuju wamekua ma RC itakua Jokate kuwa katibu mkuu UWT?
Kidumu chama cha mapinduziKamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Taifa, iliyokutana katika kikao chake maalum, leo tarehe 1 Oktoba, 2023, jijini Dar es Salaam, imefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa Jumuiya za Umoja wa Wanawake (UWT) na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM).
Atafikia uwaziri tu wa kawaida.
Makatibu wakuu wa UWT huwaga wanateuliwa ubunge viti maalumu then wanapewa uwaziri
Hapo tayari ana kura ya veto (CCM UWT) ya kwenda bungeni 2025
Hicho kidude ndiyo "political insignia" yake. Ni kama Nyerere na fimbo yakeHicho Kidude puani siakakitoe
Shida mtaani pesa hakunaMtasubiri sanaa mwaka huu kwa jinsi CCM inavyowageuza geuza Kama midoli.
Wakati kako pale Temeke kalikua ni rahisi kukaona ukienda Ofisini na shida zako.Haka kadada mpaka katashika ubalozi!