Jokate atafika mbali sana. Hata urais anaweza akaupata. Sema aliharibu sana kuwepo kwenye list ya wadada waliotafunwa na Simba wa Tandale.
 
Huyu dada ni single mother au?!
Kila la KHERI kwake.
 
Jokate atafika mbali sana. Hata urais anaweza akaupata. Sema aliharibu sana kuwepo kwenye list ya wadada waliotafunwa na Simba wa Tandale.

Hakuna mwanamke yeyote ambaye amezaliwa Tanzania bara anayeweza kuupata urais.

Angekuwa amezaliwa Zanzubar ama pemba angekuwa na nafasi
 
Of all the people, eti Jokate! Hivi huwa ni "kifaa" cha nani johnthebaptist
 
Kweli ni vizuri vijana kupewa uongozi lakini sio kwa kupaishwa bila kupata uzoefu kidogo naona hiyo nafasi waliyompa imemzidi kimo asipokuwa makini atachemka.
 
Ana hata watoto kweli huyu? Mwitongo treaty
 

Hayo ni maisha yake binafsi. Na hilo ni funzo pia you dont need to have perfect life to have a perfect future.
 
Kweli ni vizuri vijana kupewa uongozi lakini sio kwa kupaishwa bila kupata uzoefu kidogo naona hiyo nafasi waliyompa imemzidi kimo asipokuwa makini atachemka.
Uwezo wa Mh Jokate kiuongozi ni mkubwa sana ambapo naamini anakwenda kuipa nguvu kubwa sana jumuiya ya akina mama. Uongozi siyo umri bali ni uwezo wa kuongoza unaochagizwa na Elimu au maarifa,hekima,busara,maono, Utulivu, uvumilivu, kifua na nidhamu katika kuuchunga na kuulinda ulimi wako. Jiulize mwalimu Nyerere alishika uongozi wa Tanu na uwaziri mkuu wa nchi yetu akiwa na miaka mingapi? Emmanueli macron aliingia na kushika uwaziri pamoja na Urais baadaye akiwa na miaka mingapi? Salimu hamed salimu alipewa ubalozi akiwa na miaka mingapi? Unafahamu hadhi ya ubalozi? Barack Obama au John F Kennedy was marekani walishika urais wakiwa na miaka mingapi kwa Taifa kubwa kama lile? Mzee Warioba alishika na kuanza uongozi mkubwa akiwa na umri wa uzee?

Jokate ni nyota Ing'aayo Gizani na kuwamulikia watu na kuwapatia matumaini. Mh Jokate atafika mbali sana kiuongozi katika Taifa letu.Ni kijana msomi na mchapa kazi sana.Ni kijana mbunifu na mwenye maono ya mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…