TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 993
- 1,286
Mto Yordani una historia kubwa kwa Israel.Thank you historical Jordan:
"The Jordan River marks the last boundary between the wilderness–where the Israelites have been wandering for forty years–and the land God has promised to Israel. As such, the crossing of the river is a momentous occasion, the beginning of the fulfillment of God's promises to Israel."
Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.
Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.
Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Nchi zote hizo: Lebanon, Syria, Egypt, Uturuki, nk., make great history for Israel, sema zinajitoa tu ufahamu.Mto Yordani una historia kubwa kwa Israel.
Military activities is done Strategically and with special interests of the country.Kwa nini April 2024 hawakuzitungua?
Ngoja warabu wa buza watakuja.Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.
Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.
Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
We Muongo sana, Jordan hana mpaka na Lebanon, ramani yako ni ya wapi? Jordana kaskazini amepakana na Syria (Syria ndie amepakana na Lebanon), mashariki Jordan kapakana na Iraq, Kusini amepakana na Saud Arabia, na Magharibi Jordana kapakana na Israel kupitia mto Jordan. Hiyo raman ulio nayo ni ya uongo achana nayo.Jordan hawezi akaruhusu anga lake litumike dhidi ya Iran.
Maana anajua kapakana na Lebanon na anajua retaliation ya Iran sio ndogo.
Yani yeye yupo neutral,kama angekua anaruhusu basi angeruhusu mwezi May kipindi Iran ilirusha makombora Israel.Ila mbona hakuliruhusu anga lake litumike na Israel!?
Kajala una mambo ya hovyo sana aiseeee..Nahusikaje kwenye hii vita mkuu
Kwa nini Hio April 2024,hawakuzitungua?Military activities is done Strategically and with special interests of the country.
Nchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.
Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.
Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Nafikiri ni tofauti ya madhehebu na itikadi zake ndio maana ni ngumu kuwa kitu kimoja , Shia na sunni ni paka na panya.Huo umoja WA kiarabu hauna tofauti na umoja wa Afrika
Labda wameona ugaidi haulipiHuo umoja WA kiarabu hauna tofauti na umoja wa Afrika
Ukiibariki Israel UTABARIKIWA ukiilani Israel UTALAANIWA. Jordan mjanja kumbuka ndio taifa Ruth wa Biblia alipotoka.Lakini hata kama NI wajinga NI ndugu zako.
Huwezi jiunga na wazungu Kwa Akili zào na kuwaacha waafrika Kwa ûjinga waô Wakati NI ndugu zako ukitegemea utakuwa salama.
Waarabu na waafrika Hapo ñdipo wanapokwama
Kuna gaidi la kidini moja humu lilinibishia kuwa NATO haijengi kambi Jordan.Umeona eeeh !! Mda huo Jordan amaeshapokea ndege za kivita za marekani , Kambi ya NATO inajengwa hapo na jiwe la msingi tayari .
Hivi na sisi kama taifa tunaweza kujitokeza na kutoa tamko kama hili kwa hali tuliyo nayoNchi ya Jordan imesema haitarusu kombora au makombora au drones za aina yeyote kupita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel.
Na kama kuna aina yeyote ya silaha itayoonekana kwenye anga lake kwenda Israel basi utatunguliwa mara moja.
Huko mashariki ya kati watu wamechafukwa.
Inategemea km hiyo misuli tunayo tunaweza mbonaHivi na sisi kama taifa tunaweza kujitokeza na kutoa tamko kama hili kwa hali tuliyo nayo
Una uhakika vita vikizuka kati ya Israel na Iran,hao Jordan hawatamruhusu Israel kutumia anga lao?Jordan hawezi akaruhusu anga lake litumike dhidi ya Iran.
Maana anajua kapakana na Lebanon na anajua retaliation ya Iran sio ndogo.
Yani yeye yupo neutral,kama angekua anaruhusu basi angeruhusu mwezi May kipindi Iran ilirusha makombora Israel.Ila mbona hakuliruhusu anga lake litumike na Israel!?
They were not interested.Kwa nini Hio April 2024,hawakuzitungua?