Jordan yasema itatungua kombora lolote litakalopita kwenye anga lake kwenda kuishambulia Israel

Mbona umekuja kwa kukurupuka sana kaka!?
Tunaelekezana kama mtu kakosea unarekebisha.
Kupachika Watu majina kunakusaidia nini!?
Aya sawa Jordan kapakana na Syria,hivi unafahamu kama Hizbollah silaha anazichukulia Syria na command center ipo Syria!?
Hizbollah inaweza ika launch attacks kupitia Syria ni yale yale tu.
 
Upo sahihi
 
Waarabu kwa jinsi walivyo wanafiki hilo jambo halitawezekana
Kugeukana ni dakika 0. Irani na Iraq walishazichapa kama muongo mmoja uliopita leo eti wana join forces kupigana na Israel. Swali ni kweli wanaaminiana vya kutosha? visasi na vinyongo vimeisha mioyoni mwao? Maana mmoja asije muuza mwenzake.
 
Waarabu waunde one Arabic state with one central command probably wanaweza kutoa changamoto kwa Israel japo kwa asilimia kadhaa. Ila kwa nature ya waarabu hili ni jambo gumu sn.
Ingekuwa waarabu wana umoja kama waajemi(Iran,Afghanistan n.k) hilo lingewezekana.
Ila waarabu ni wanafiki kiasi cha kupinduana wenyewe kwa wenyewe.
Wengine ni viongozi wa kiharamu katika mataifa yao hivyo wanategemea ulinzi wa USA wasalie madarakani mfano King wa Jordan.
 
wakiristo wa Jf wanafuraha, sijui kwanini?
 
Jordan ni moja ya nchi dhaifu sana na ya kinafiki hapo mashariki ya kati.Na maguvu ya kifalme ndiyo yanafanya kazi.
Hali ikichafuka zaidi hawataweza kujilinda wala kuilinda Israel.
 
Israel sijui ana Siri gani?
Anatetewa hadi mwarabu!
Sijui ana ushawishi gani?
 
Uingereza aliigawanya ardhi ya Israel in two parts one side for Arabs and one part for Jews upande wa Arabs ndio Jordan and wa Jews ndio Israel ya Sasa issue Arabs walikuweko maeneo ya Israel wakagoma kusepa ila Jews walikuwepo side ya Arabs walihama na walibakia waliuliwa wote ki Genocide Ila Israel aliwafurusha t bila kuwadedisha technical foul alifanya. ndio matokeo ya kijinga ya sasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…