Joseph Haule (Prof. Jay): Sasa nipo Imara, Namshukuru Rais Samia, Mbowe, Watanzania na Familia. See you soon

Kukonda ndio ishara ya afya yake kuimarika. The guy was overweight na hiyo linaweza kuwa ilichangia hayo maradhi kumpata. Mungu aendelee kumponya kwani alikuwa artist mzuri sana. Nasikia Samia kafuta bili zote za matibabu yake!
Kwani alikuwa anaumwa nn mkuu? Maana haijawahi kuwekwa wazi tangu augue, lkn wewe unaelekea kuwa na hint kidogo
 
Nyie ugonjwa wa figo kama huna pesa una akwenda na maji nenda nenda muhimbili ndio utaona kuwa ugonjwa wafigo sio
Hvi ugonjwa wa Figo huwa unakuja ghafla kama ilivyokuwa kwa huyu mwamba? Au kuna visababisbishi vilivyoharibu figo???
 
Kwahiyo jamaa alikuwa mpiga mitulinga (mipombe)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…