Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimwi ndo source ya kuugua Figo.Ni figo sio ukimwi.
Duuuh aseeee 😔😔Ukimwi ndo source ya kuugua Figo.
Muumini Mwinjuma yupo wapi?View attachment 2607618
Joseph Haule. Game changer wa hip-hop ya Tanzania. Baba wa hip-hop ya Tanzania. Mungu ni mwema yupo sawa.
Zile karanga wanameza kila kila siku naskia ni hatari sana...halafu zinaleta hasira sana..Ukimwi ndo source ya kuugua Figo.
Mnapenda kuhukumu watu Sana hamjui Kesho yenu Mbwa nyie singo maza mlio na laana WTFUkimwi ndo source ya kuugua Figo.
Wewe ni daktari wake mkuu? Na hata kama ni daktari wake amekuruhusu useme ugonjwa wake kwa jamii?Ukimwi ndo source ya kuugua Figo.
Kwani alikuwa anaumwa nn mkuu? Maana haijawahi kuwekwa wazi tangu augue, lkn wewe unaelekea kuwa na hint kidogoKukonda ndio ishara ya afya yake kuimarika. The guy was overweight na hiyo linaweza kuwa ilichangia hayo maradhi kumpata. Mungu aendelee kumponya kwani alikuwa artist mzuri sana. Nasikia Samia kafuta bili zote za matibabu yake!
Ni Dr wake tu ndo anaweza thibitisha, na maDr % kubwa wana maadili hawana mihemko mitandaoni.Ukimwi ndo source ya kuugua Figo.
Mungu ni mwema wakati wote
Hivi aliumwa nini?
Hvi ugonjwa wa Figo huwa unakuja ghafla kama ilivyokuwa kwa huyu mwamba? Au kuna visababisbishi vilivyoharibu figo???Nyie ugonjwa wa figo kama huna pesa una akwenda na maji nenda nenda muhimbili ndio utaona kuwa ugonjwa wafigo sio
Wanashindwa elewa alikuwa ICU siku 120+Yaani mtu kaumwa muda wote huo halafu unauliza why amekonda sana? Watu mna masihara sana
Kamuulize dokta mjinga mmoja weweHvi ugonjwa wa Figo huwa unakuja ghafla kama ilivyokuwa kwa huyu mwamba? Au kuna visababisbishi vilivyoharibu figo???
Kwahiyo jamaa alikuwa mpiga mitulinga (mipombe)?Sipendi kusema watu lakini mdomo wake umelika kwasababu ya pombe. Ujumbe hapa ukifika miaka 40 jitahidi achana na pombe za kuzidi, sukari, vyakula vya wanga, fanya mazoezi na medical check up!. Bila kuelezana ukweli na vitu vilivyo changia tatizo lakini hatuta tenda haki kutoa elimu ya afya. Pole sana Prof Jay
Huyo single mother Victoire yupo depressed na maisha ya mahusiano that way anadhani prof jize ana ngoma kumbe ugonjwa tu hata yeye ugonjwa Unaweza kumlaza na asiamkeNi Dr wake tu ndo anaweza thibitisha, na maDr % kubwa wana maadili hawana mihemko mitandaoni.
Nilikua nakuona una usmart kidogo kumbe ni wale wale tu!Ukimwi mbaya,jamaa kakonda kawa mdogo utafikiri ndo kwanza kamaliza form six.Sasa asiache dozi kabisa.
Sio kweli nyie wajinga ndo mnataka kuandika pumbaKwahiyo jamaa alikuwa mpiga mitulinga (mipombe)?
Huyo single mother Mkuu hajitambui na yupo depressed na mahusiano so achana naye.Nilikua nakuona una usmart kidogo kumbe ni wale wale tu!
Mnafiki mkubwa wewe. Ndiyo unajiona una utu sana kuliko tunaouliza . Nyambafu. Utakufa tu mbwa weweKamuulize dokta mjinga mmoja wewe