Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

Huyo jamaa ile PhD aliyopewa uchochoroni ndio imempa confidence kihivyo..!!

Lakini yote ni sawa tu kwa sababu kwa hili wanaloita bunge mtu yeyote yule anaweza kuwa spika na labda hata huyo msukuma ni nafuu maanake hakuna bunge pale kwa maana halisi ya neno lenyewe, ile kwa lugha nzuri ni "Halmashauri Kuu ya Ccm".
 
hivi humu ninani anakumbuka siku Benjamin Mkapa alipokuwa akichukua form ya kuogombea uraisi mwaka 1995 kupitia CCM? ingawa nilikuwa mdogo nakumbuka sana kwa jinsi CCM wenzake walivyo mdhihaki kwa kumwita majina mabaya mabaya, siku ya mwisho alipindua meza!!!!
Wewe, wewe, wewe, umesahau alivyochukua fomu JPM; na alipofika Mwanza wajumbe wakamweleza asubiri maana wenye fedha (Lowassa) wanaingia kwanza!!!!!! Haya mambo lakini si kwa darasa la saba Msukuma. By the way, mwongozo wa TCU unatanabahisha kuwa huwezi kumwita mtu Dr wakati akiwa na honorary degree
 
Ni Darasa la 7 lkn Dr na amechukua fomu ya kuomba uspika was Mbuge mm ni miongoni wa watu wengi tunaona ana manufaa makubwa Sana ya kuwatumikia Wananchi kupitia Muhimili huu
Kweli inatakiwa wabunge wamuamini ili aongoze Muhimili.
 
Back
Top Bottom