Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ngoja tuoneNa bado
Aisee Msukuma alizoea kudanganya Geita vijijini sasa kapatikanaHuwezi kuzuia maji kwa mikono...hasa maji yenyewe yana kasi.
Kuna zama na zama...
Acha kutukana ujue huyo ni mbunge kuwa na heshimaUjinga mzigo.
DaahHaha
Hili lisharubati linapayuka niniNi katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Mh Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema.
Basi Bwana Mh Josefu Kusheku a.k.a Msukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita.
Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja.
Mwenyewe awashangaa kwanini wanampigia makofi Tundu Lissu kwenye mikutano yake.
Amekerwa kuitwa Mbunge wa Mchongo
Tazama video clip hii.
Ndio waliopita bila kupingwa kuanzia ndani ya chama hadi Uchaguzi mkuuTatizo ni elimu ndogo.
Hizi sasa tuhuma mpyaHawa darasa la saba tumewapa promo sana.
Yaani jitu jinga kama Msukuma lililopata utajiri kupitia utekaji wa mabasi tunalipa ubunge kweli? Jitu kama hili lilipaswa kuwa jela.
Lakini badala yake linabweka kila mahala likijiona lina akili kuliko maprofesa? Rubbish!!
Kama anabisha aseme suu, halafu nifunguke zaidi. Zile stori sijui eti alikuwa anauza sijui nn Arusha na Korogwe Tanga ni uwongo tuHizi sasa tuhuma mpya
Mpuuzi sana huyu, anatetea magendoNi katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema.
Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Msukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita.
Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja.
Mwenyewe awashangaa kwanini wanampigia makofi Tundu Lissu kwenye mikutano yake.
Amekerwa kuitwa Mbunge wa Mchongo
Tazama video clip hii.
Sahihisho: Huyu mjinga siyo jitu bali kijitu.Hawa darasa la saba tumewapa promo sana.
Yaani jitu jinga kama Msukuma lililopata utajiri kupitia utekaji wa mabasi tunalipa ubunge kweli? Jitu kama hili lilipaswa kuwa jela.
Lakini badala yake linabweka kila mahala likijiona lina akili kuliko maprofesa? Rubbish!!
Hajui watu wameelimika sn kuzidi yeyeAmelipuka kwa hasira sana huyu mh.
Akumbuke kuwa huu mchezo hauhitaji hasira.
2025 sijui kama atatoboaHawa darasa la saba tumewapa promo sana.
Yaani jitu jinga kama Msukuma lililopata utajiri kupitia utekaji wa mabasi tunalipa ubunge kweli? Jitu kama hili lilipaswa kuwa jela.
Lakini badala yake linabweka kila mahala likijiona lina akili kuliko maprofesa? Rubbish!!
HUYU ATAKUWA MCHAWI TU KAMA YEYE ANACHUKI NA TL WANANCHI HAWANA CHUKI NAENi katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema.