Joseph Kasheku Musukuma alalamikia Wananchi wa Geita Vijijini kumpigia makofi Tundu Lissu

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema.

Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Musukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita.

Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja.

Mwenyewe awashangaa kwanini wanampigia makofi Tundu Lissu kwenye mikutano yake.

Amekerwa kuitwa Mbunge wa Mchongo

Tazama video clip hii.
 
Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Mh Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema.

Basi Bwana Mh Josefu Kusheku a.k.a Msukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita.

Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja.

Mwenyewe awashangaa kwanini wanampigia makofi Tundu Lissu kwenye mikutano yake.

Amekerwa kuitwa Mbunge wa Mchongo

Tazama video clip hii.

Hili lisharubati linapayuka nini
 
Hawa darasa la saba tumewapa promo sana.

Yaani jitu jinga kama Msukuma lililopata utajiri kupitia utekaji wa mabasi tunalipa ubunge kweli? Jitu kama hili lilipaswa kuwa jela.

Lakini badala yake linabweka kila mahala likijiona lina akili kuliko maprofesa? Rubbish!!
 
Hizi sasa tuhuma mpya
 
Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema.

Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Msukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita.

Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja.

Mwenyewe awashangaa kwanini wanampigia makofi Tundu Lissu kwenye mikutano yake.

Amekerwa kuitwa Mbunge wa Mchongo

Tazama video clip hii.

Mpuuzi sana huyu, anatetea magendo
 
Hawa darasa la saba tumewapa promo sana.

Yaani jitu jinga kama Msukuma lililopata utajiri kupitia utekaji wa mabasi tunalipa ubunge kweli? Jitu kama hili lilipaswa kuwa jela.

Lakini badala yake linabweka kila mahala likijiona lina akili kuliko maprofesa? Rubbish!!
Sahihisho: Huyu mjinga siyo jitu bali kijitu.
 
Hawa darasa la saba tumewapa promo sana.

Yaani jitu jinga kama Msukuma lililopata utajiri kupitia utekaji wa mabasi tunalipa ubunge kweli? Jitu kama hili lilipaswa kuwa jela.

Lakini badala yake linabweka kila mahala likijiona lina akili kuliko maprofesa? Rubbish!!
2025 sijui kama atatoboa
 
Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema.

Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Msukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita.

Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja.

Mwenyewe awashangaa kwanini wanampigia makofi Tundu Lissu kwenye mikutano yake.

Amekerwa kuitwa Mbunge wa Mchongo

Tazama video clip hii.

HUYU ATAKUWA MCHAWI TU KAMA YEYE ANACHUKI NA TL WANANCHI HAWANA CHUKI NAE
SIASA HAITAKI HASIRA
 
Back
Top Bottom