Joseph Kasheku Musukuma alalamikia Wananchi wa Geita Vijijini kumpigia makofi Tundu Lissu

Acha upuuzi we mshosha ngombe ongelea mkataba wewe kilaza !! Bado utataga mayai ya nyoka!
 
Wenzie wanazungumza kwa vifungu vya mkataba, Msukuma ana yeye anapiga stori za Ikawa vile Ikawa hivi
 
Kwani hajui kama enzi za mfalme wake zimepitašŸ˜‚
 
Bora ukose fedha uwe na akili kuliko kuwa na fedha halafu mpumbavu.
Wewee acha ujinga! Yaani ulale njaa wewe na watoto wako kisa una akili, halafu jirani yako anakula chips kuku na mabaki anatupa watoto wako wanaokota kula huku unawaambia watoto wako kuwa wewe una akili kuliko huyo jirani? Dogo, watoto wako wakichagizwa na mkeo WATAKUPIGA KAA MBWA KOKO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…