Joseph Musukuma: Vyuo 11 vinanitaka nikafundishe uchumi, UDSM Ikiwemo

Inawezekana nyie ndio wasomi wa makalatasi hakuna mnacho deliver kwa jamii inayo wazunguka usidhani kuandika report yenye makalatasi mengi ndio usomi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huyu inawezakana hana elimu ila ana kili nyingi sana,ndio maana anajiamini kuwa akiwekwa na mchumi wa darasani ambaye ana elimu na hana akili anajuwa kabisa kuwa atamgalagaza...
Inawezekana mkuu, angeenda shule ingekuwa balaa..
 
Kwani wewe unaelewaje maana hasa ya elimu?
Hivi mtu akiifundisha jamii kujikwamua kiuchumi hiyo siyo elimu?
Yeye hajapata mali serikalini isipokuwa kaingia nayo tu.
Je akiwafundisha watu namna ya kupata mali itakuwa siyo elimu!

Hayo ni mafunzo au motivational speech sio elimu. Elimu Ina sifa zake ambazo lazima zizingatiwe.
 
Sasa uchumi wa manyokanyoka hawa wasomi watauelewa, au atanza kuwanywesha dawa za miti shamba ili waingiwe na maruweruwe halafu ndo waanze kumsikiliza 😂😂😂😂.

Huyo ataenda kufundisha uchumi wa kutunza pesa kwenye kibubu au kujinyima kula ili uongeze mtaji.
 
Inawezekana nyie ndio wasomi wa makalatasi hakuna mnacho deliver kwa jamii inayo wazunguka usidhani kuandika report yenye makalatasi mengi ndio usomi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Uwe na shukrani kwa wasomi hata Kama Kuna mapungufu. Fikiria wasomi wanahusiaka na madaraja , mabarabara, maujenzi, operesheni za mwili, uwakili, madaktari wa mifugo, wahasibu, wataalamu wa Kodi nk. wasomi wanapiga kazi Sana, tuache dharau.
 
Mshamba tu huyo jamaa yaani kwa sababu anamiliki pesa ndio anataka kujilinganisha na watu waliokaa darasani na wakafanya tafiti ?
 

Basi na wewe au wanao wasiende shule ili wawe kama Bill Gates, Messi na Ronaldo au hata Msukuma.
 
Ndago ndio zitakuwa zinaongea kwenye mdahalo?

Kama ndago zinaleta uchumi huoni ni nzuri?

Uchumi wa ndago una limitations zake , Kuna sehemu hauvuki. Na Kama unataka kuvuka inabidi uchome watu mia moja Kama wale wa morogoro kwenye Lori la mafuta.
 
Sasa kama kutokusoma ni Bora, kwanini Msukuma kwenye migodi yake aajiri wasomi wenye Master's.
Si angekuweka wew ambae hujasoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…