Nasikia ameshafukuzwa.Huyu fisimaji afukuzwe tu ametumwa kuja kuchafua hali ya hewa.
gentleman,Kumbe ndio maana Tlaatlaah anasema Kila siku chadema kutakuwa na migogoro kumbe washampandikiza huyo bug.
huyo mwenyekiti wa chadema taifa mtarajiwa,Joseph Selasini alikuwa ni miongoni mwa Wanamageuzi 15 waliounda Kamati ya Kitaifa ya Mabadiliko ya Kikatiba, The National Convention for Construction and Reform (NCCR) mwaka 1991, wakiongozwa na Mzee Fundikira, Mtikila, Marando, Lwamwai na wengine.
Kwenye kamati hiyo akiwa na Mabere Marando, Masumbuko Lwamwai waliwasaliti wenzao wakawafukuza, Mtikila akaanzisha Democratic Party (DP), Fundikira akaanzisha (UMD), wao wakaongeza neno MAGEUZI, kamati ikajigeuza kuwa chama cha siasa kikaitwa NCCR-Mageuzi.
Mwaka 1995 Augustine Mrema alijiunga na chama hicho na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti na Selasini akawa Msaidizi wake.
Mwaka 1997 Selasini akiwa na wenzake kina Marando wakamfukuza Mrema akajiunga na TLP.
Mwaka 2009 Selasini alijiunga na Chadema baada ya kuivuruga NCCR-Mageuzi.
Mwaka 2020 Selasini aliondoka Chadema na kurudi NCCR-Mageuzi.
Mwaka 2020 Selasini alianzisha vurugu ndani ya NCCR-Mageuzi, akishirikiana na Naibu Msajili wa vyama vya siasa Sisty Nyahoza walifanikiwa kumuondoa James Mbatia kwenye nafasi ya Uenyekiti.
Mwaka 2026 Selasini amerudi Chadema, ndani ya miezi miwili anataka Makamu Mwenyekiti aliyemkuta achunguzwe na kuondolewa.
Hiyo ndiyo safari ya Selasini kwenye siasa, ni kirusi aondolewe haraka kwenye chama na adhibitiwe kabla hajaleta madhara makubwa, mtanishukuru.
Mkuu, CHADEMA kumpokea sidhani kama walifanya kosa. Ila watakuwa wamefanya kosa sana kama walimrudisha kundini bila kumpa muda wa uangalizi. Sasa hivi anatakiwa afukuzwe haraka sana kwa sababu ameshaonyesha hana nidhamu.Chadema tukiwaambia muwe mnatuekewa. Wanaorudi ni wachafuzi wa mazingira. Twaha naye huyu ni mwingine kumpigia debe sijui asha. Selasini fukuza ndio ataelewa tupo serious. Watu hawajihurumii na yanayoendelea
Kama hawakumweka kwenye muda wa uangalizi watakuwa walifanya kosa sana. Huyu jamaa na James Mbatia siyo watu wa kuaminika kabisa.CHADEMA mlikosea sana kumpokea huyu mamluki ndani ya chama chenu. Uzuri hamjachelewa bado kumrejesha alikotoka.
Kabisa ni hatari sana mtu huyu sijui walimpokea vp?Joseph Selasini alikuwa ni miongoni mwa Wanamageuzi 15 waliounda Kamati ya Kitaifa ya Mabadiliko ya Kikatiba, The National Convention for Construction and Reform (NCCR) mwaka 1991, wakiongozwa na Mzee Fundikira, Mtikila, Marando, Lwamwai na wengine.
Kwenye kamati hiyo akiwa na Mabere Marando, Masumbuko Lwamwai waliwasaliti wenzao wakawafukuza, Mtikila akaanzisha Democratic Party (DP), Fundikira akaanzisha (UMD), wao wakaongeza neno MAGEUZI, kamati ikajigeuza kuwa chama cha siasa kikaitwa NCCR-Mageuzi.
Mwaka 1995 Augustine Mrema alijiunga na chama hicho na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti na Selasini akawa Msaidizi wake.
Mwaka 1997 Selasini akiwa na wenzake kina Marando wakamfukuza Mrema akajiunga na TLP.
Mwaka 2009 Selasini alijiunga na Chadema baada ya kuivuruga NCCR-Mageuzi.
Mwaka 2020 Selasini aliondoka Chadema na kurudi NCCR-Mageuzi.
Mwaka 2020 Selasini alianzisha vurugu ndani ya NCCR-Mageuzi, akishirikiana na Naibu Msajili wa vyama vya siasa Sisty Nyahoza walifanikiwa kumuondoa James Mbatia kwenye nafasi ya Uenyekiti.
Mwaka 2026 Selasini amerudi Chadema, ndani ya miezi miwili anataka Makamu Mwenyekiti aliyemkuta achunguzwe na kuondolewa.
Hiyo ndiyo safari ya Selasini kwenye siasa, ni kirusi aondolewe haraka kwenye chama na adhibitiwe kabla hajaleta madhara makubwa, mtanishukuru.
Kwa kweli tuna subiri kwa hamu official letter ya kumfukuzwa huyu virus.Mkuu, CHADEMA kumpokea sidhani kama walifanya kosa. Ila watakuwa wamefanya kosa sana kama walimrudisha kundini bila kumpa muda wa uangalizi. Sasa hivi anatakiwa afukuzwe haraka sana kwa sababu ameshaonyesha hana nidhamu.
hata hafiki fiftySELASINI! 😅