Joseph Selasini ni kirusi ndani ya vyama vya siasa, afutiwe uanachama haraka kabla hajaleta madhara.

Mwandishi wa makala hii ulikua wapi kuyaandika haya zamani?
Yaani umeandika point tupu,kweli tupu uhalisia tupu.
Huyu Mtu selasini sio TU afukzwe Bali pia alaaniwe,ili afe kisiasa asirudi Tena kwenye siasa za nchi yetu,ni mtu mbaya sana.
Pandikizi huyu.
 
Selasini is nothing ndani ya chama, hana cheo chochote, hana base yeyote, hana platform atakayoitumia zaidi ya kuvizia vichochoro ajirekodi. Sio kiongozi hadi kamati ya chama ikae anafukuzwa na kiongozi wa kizimba tu.
 
Mimi huwa namuita vipande thelathini
 
Mkuu, CHADEMA kumpokea sidhani kama walifanya kosa. Ila watakuwa wamefanya kosa sana kama walimrudisha kundini bila kumpa muda wa uangalizi. Sasa hivi anatakiwa afukuzwe haraka sana kwa sababu ameshaonyesha hana nidhamu.
Kumpokea lilikua kosa la kiufundi. Jamaa ana CV ndeefu ya kutokuaminika. Uchafuzi wa mwisho kaufanya very recently akiwa NCCR. Unaanzaje kumwamini mtu wa namna hiyo kumpa uanachama? Na sasahivi wakikurupuka kumfukuza atawasumbua mbele ya vyombo vya sheria ile mbaya.
 
Nakumbuka miaka hiyo akiwa kama PR na MC wa mikutano yote ya NCCR. By the way,mwondoe kaka yake Dr Masumbuko Lamwai kwenye hiyo list,Lamwai kifo chake kimechangiwa na kufilisiwa mali na Serikali ya Mkapa na Kikwete kisa tuu ni mpinzani.
 
Nakubaliana na wewe. Zee halina aibu kabisa. Mimi sikutarajia lingeweza kujidhalilisha namna hii! Sijui ni maisha yamekuwa magumu linatafuta fedha au ni nini!
 
Selasini is nothing ndani ya chama, hana cheo chochote, hana base yeyote, hana platform atakayoitumia zaidi ya kuvizia vichochoro ajirekodi. Sio kiongozi hadi kamati ya chama ikae anafukuzwa na kiongozi wa kizimba tu.
subiri maamuzi ya mkutano wa baraza kuu litakalovurugana septermber 15, na ndipo utanielewa vizuri gentleman,

huna haja ya kumbwelambwela na kujipiga kifua sana jukwaani kwa sasa
 
subiri maamuzi ya mkutano wa baraza kuu litakalovurugana septermber 15, na ndipo utanielewa vizuri gentleman,

huna haja ya kumbwelambwela na kujipiga kifua sana jukwaani kwa sasa
Selasini hana wadhifa hata wa kusogelea geti la baraza kuu, he's nothing.
 
Selasini hana wadhifa hata wa kusogelea geti la baraza kuu, he's nothing.
In fact ataalikwa kama special guest,
but baada ya mkutano wa baraza kuu hilo, utamkuta J.Selasini kamati kuu katulia tuli kitini tena mahali pa juu zaid palipo inuka
 
Nakumbuka miaka hiyo akiwa kama PR na MC wa mikutano yote ya NCCR. By the way,mwondoe kaka yake Dr Masumbuko Lamwai kwenye hiyo list,Lamwai kifo chake kimechangiwa na kufilisiwa mali na Serikali ya Mkapa na Kikwete kisa tuu ni mpinzani.
Huwezi kumuondoa dr Lamwai kwenye vurugu za NCCR Mageuzi.
Mbali ya yeye kuhusika kuhujumu vuguvugu la Mageuzi lililopelekea kuhama kwa baadhi ya waaisisi, lakini pia alikuwa kiungo muhimu miongoni mwa wale waioshiriki kumfukuza Augustine Mrema kwenye chama hicho.
Kwa kifupi Lamwai ni miongoni mwa waliohusika kuhujumu Mageuzi.
 
gentleman,
mim ni visionary politician of these modern times,
I have capacity and capability to detect and see the political issues coming from far,

sasa nyinyi mnapambana na kunitukana tu huku aibu ikiwapata wenyewe
Huyo shoga mwenzio ameshindwa kabula hata kazi hajaianza ogopa CHADEMA MAGUFULI ALIAHIDI ATAIUWA AKAFA YEYE NAWEWE JICHUNGE
 
April 2020.
Mbunge wa Rombo kupitia Chadema, Joseph Selasini ametangaza kukihama chama chake na kujiunga na NCCR - Mageuzi. Amedai amefikia uamuzi huo baada ya kuondolewa kwenye grupu rasmi la kazi WhatsApp la Chadema bila kupewa sababu za kuondolewa.

Ridiculous!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…