Joshua na Clemence hii ni kwa ajili yenu. Sasa mlale kwa amani zaidi

Ok. Basi ndo inavyotokea kwa watoto wakipalestine wanapouawa. Ni MAZINGIRA WANAYOKUWEPO. Mpaka sasa is almost wapaleatine 40,000 wameuawa since october 7
Kwani lin hata umoja wa matafifa umeweka vikwazo na kutambua watoto hao, nyie ndio mnapiga kelele wakati kule ni vita tena upande mmoja .
 
Kwani lin hata umoja wa matafifa umeweka vikwazo na kutambua watoto hao, nyie ndio mnapiga kelele wakati kule ni vita tena upande mmoja .
VIta ni vita mura.hakuna upande mmoja. Waacha watiane adabu.
 
Amen, magaidi waende kurest in hell they deserve
 
Mkwawa na wengine wamefia wakitetea haki ya ardhi yao ....Hawarudi nyuma ni mpambano.

Benja anakutafuta maana wewe ni mtamu

Ameua waume zako wote kwa ajili yako

Wewe ni mlaini.
 
Wale vijana wa kitanzania wangewaacha salama tu, wakawaua, tanzania ikakaa kimya bila kutoa tamko, kudadeki! Wauaji hakuna rangi wataacha kuona kwa uovu wao. Ogopa sana watu wapole!
 
Sasa mkuu boksa wataionaje labda kama watatamani tako waivue suruali kuja kukumbana na boksa. Na yeye ukute hakua na mawazo hayo akavaa kifashen tu
Kuvaa aina ya hizo nguo katika eneo lile ni hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…