Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

Analazimisha ideology yake iwaingie wengine.
Hawa ndio wanaokufa kwa upweke na depression.
Yote hayo mkuu ni kwa sababu ujinga nao umepewa uhuru, angepewa mtu smart a debate nae. Tukianza na maswali binafsi kama vile.
Je yeye ni mtu sahihi katika kushauri masuala ya ndoa ikiwa ndoa zake kadhaa zilivunjika?
 
Kabla hamjafuata anachosema nawakumbusha tu kashaolewa mara nne.

Ahsanteni.
😂😂 sasa mtu aliyeolewa mara nne na kuachika anaweza kumshauri nini mwanamke anayejiheshimu na kujitambua?
Huyo ana shida ya akili na analazimisha ku trend baada ya kuonekana trash kwa jamii.
 
Hivi anaweza kujizagamua mwenyewe? Au ndio harakati uchwara.
Huyu apelekwe mirembe sio bure....anataka kuwajaza ujinga wanawake wanzake ambao wanafurahia ndoa zao ili waishi kwa kudanga kama anavyoishi yeye. Hayo maneno mbna hakuyasema alipokua ameolewa.
Media zetu nazo takataka kumpa coverage mpuuzi.
 
Ni hasira zimemjaa , mwanamke ambaye ana mtu wa kuzibua sikio lake uwa Hana hasira sana na zisizo na mpangilio
 
😅😅😅 Uko poa kaka.
Feminist wetu anapaswa ajue kuwa watu anaowakanyaga wakati akiwa njiani kukwea ngazi kwenda juu huenda wakawa ni walewale atakaowakuta kwenye safari yake ya kuteremka ngazi.
 
Umesema bado ana ushamba wa ubeki tatu
Sasa ubeki tatu una ubaya gani?
Kwa namna Moja ama nyingine umehusisha wendawazimu wa Joyce Kiria na ubekitatu.
she is no longer a housemaid (si kwamba ni jambo baya kuwa beki 3) Rejea tena kusoma ukaelewa mpendwa.

Tatizo si ubeki tatu, tatizo ni Joyce Kiria.
 
😅😅😅 Uko poa kaka.
Feminist wetu anapaswa ajue kuwa watu anaowakanyaga wakati akiwa njiani kukwea ngazi kwenda juu huenda wakawa ni walewale atakaowakuta kwenye safari yake ya kuteremka ngazi.
We muache tu tutampelekea supu ya kuku akiwa kitandani.
 
Dishi limeyumba
 
Tusiwa include na wanawake wengine wazuri pamoja na huyu. Kakaa na wanaume wangapi todate? Kwanini wanapiga then wanatembea na sio kukaa nae huyu? Hawa watu huenda wana project maalumu wamepewa na watu maalumu kutoka nje ya nchi; mwanamke wa Kitanzania aliye lelewa na mama wa Kitanzania hawezi kua na ujasiri wa kusema public hiki alichokisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…