Babuu Wesaki Kilauwo
JF-Expert Member
- Jul 10, 2024
- 357
- 488
Kauli kama hizi ni kawaida kwa wanawake waliojipata kutokana na kipato chao kinawafanya wawe na dharau maana kwake kuishi na mwanaume sio lazima anajiweza.Anafunguka mwanaharakati.....
"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria
Natoa pole nyingi kwa mwanaume yeyote aliye na mke kama huyu mwanaharakati. View attachment 3098192
Nasemaa hivi punda wapo na mwamwinyi wapo na hawatoisha abadani 🤣🤣🤣Tena mwanaume akisaidia kuosha vyombo, huku mnakiss. Anakusaidia kupika huku mnakunywa zenu wine. So Romantic, hebu wasaidieni wake zenu huko. Hiyo mikono mmepewa mfanyie nini? Hakuna punda binadamu. Siku msaidizi yuko off, fanyeni kazi za home pamoja. Hakuna umwinyi.
Pamoja na uchuma wake ila nguo, jikoo yumo Leo hawa alunium ya kuchovya wanataka fifty fifty
Kwanza angalia hayo makucha tu utajua huyo n mwanamke wa aina Gani..Anafunguka mwanaharakati.....
"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria
Natoa pole nyingi kwa mwanaume yeyote aliye na mke kama huyu mwanaharakati. View attachment 3098192
Hakuna kitu na enjoy kama kumuhudumia mume wangu sitaki aguse hata kijikoAnafunguka mwanaharakati.....
"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria
Natoa pole nyingi kwa mwanaume yeyote aliye na mke kama huyu mwanaharakati. View attachment 3098192
Hakuna kitu na enjoy kama kumuhudumia mume wangu sitaki aguse hata kijiko
Sio kweli, watu hawaishi pamoja kwa ajili ya kipato. Watu wanaishi pamoja tokana na upendo.Kauli kama hizi ni kawaida kwa wanawake waliojipata kutokana na kipato chao kinawafanya wawe na dharau maana kwake kuishi na mwanaume sio lazima anajiweza.
Unatakiwa ujengewe mnara. Na hiki wamama wengi ndio wanachopenda. Hamuhutuhudumii kwa kuwa mu watumwa wetu, ila mnatuhudumia kwa kuwa mnatupenda.Hakuna kitu na enjoy kama kumuhudumia mume wangu sitaki aguse hata kijiko
Kila kitu ni kizuri kikifanyika kwa Upendo.Tena mwanaume akisaidia kuosha vyombo, huku mnakiss. Anakusaidia kupika huku mnakunywa zenu wine. So Romantic, hebu wasaidieni wake zenu huko. Hiyo mikono mmepewa mfanyie nini? Hakuna punda binadamu. Siku msaidizi yuko off, fanyeni kazi za home pamoja. Hakuna umwinyi.
Umemaliza kaka yangu. Only upendo utamfanya mwanaume, afanye zaidi ya anavyotakiwa kufanya na si kukomoana. Shida mauhusiano, ndoa za siku hizi kila mtu anataka kuwa juu. Nimependa jibu lako Kommando muuza madafuKila kitu ni kizuri kikifanyika kwa Upendo.
Nitunuku mzigo basi.Umemaliza kaka yangu. Only upendo utamfanya mwanaume, afanye zaidi ya anavyotakiwa kufanya na si kukomoana. Shida mauhusiano, ndoa za siku hizi kila mtu anataka kuwa juu. Nimependa jibu lako Kommando muuza madafu
Mumeo anaitwa nani?Hakuna kitu na enjoy kama kumuhudumia mume wangu sitaki aguse hata kijiko