Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

Huyu si ajabu anahonga!! Upeo finyu sana.!!! Akate kucha kwanza kabla hajatoa pumba zingine.
 
Moja kati ya wadada wajinga ni pamoja na huyu, bahati nzuri ni kwamba, wanawake wenye akili zao na kujitambua ni wengi, hivyo atafanikiwa kuwashawishi wadangaji wenzake
 
Kwani ukimtazama tu usoni unaona ana tofauti gani na Nabii Tito
 
Ajabu ni kwamba kufanya kazi za ndani Wanasema "Kwani Mwanaume hana mikono"
Ila wanapotaka Kuhudumiwa(kupewa hela) Huwa hawajiulizi kwani Sisi Mikono ya Kutafuta Hatuna!!!

Wanatakiwa pia Wapiganie MWANAMKE ASIHUDUMIWE NA MWANAUME KWA SABABU KILA MTU ANA MIKONO.
 
Na kucha zake kama shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…