msapinungu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 839
- 692
Huyu si ajabu anahonga!! Upeo finyu sana.!!! Akate kucha kwanza kabla hajatoa pumba zingine.Anafunguka mwanaharakati.....
"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria
Natoa pole nyingi kwa mwanaume yeyote aliye na mke kama huyu mwanaharakati. View attachment 3098192