Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
- Thread starter
- #61
Wajuba huwa ni hit na kutoka nduki kwa kwa hawa mwanaharakati yaani huwa hawaoi mwanaharakati kabisaSijui, lakini just imagine ujifanye unajua kupenda kuliko mwanaume mwenzio aliyemwacha, halafu ukajitwalia chuma hiko, utakufa kabla ya muda wako.
Changamoto zingine wanaume huwa tunajitafutia wenyewe.
Utaoaje mwanaharakati?