Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

Anafunguka mwanaharakati.....

"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria

Natoa pole nyingi kwa mwanaume yeyote aliye na mke kama huyu mwanaharakati. View attachment 3098192
Ana tatizo la inferiority complex!
 
Basi mwanaume kumlisha,kumvisha na kumpa mahitaji mwanamke wake ni UJINGA.
Hizo mahitaji si ajipatie mwenyewe?
Kwani hana nguvu ya kujipatia??
Hii ni athari mbaya ya Feminism.
Yani feminism inamfanya mtu anakua kipofu wa akili hadi anaropoka hajielewi.
Huyu nae anajiita eti mwanaharakati.
😂😂😂😂😂😂 Lior .
 
Mapovu yamewatoka🤣🤣🤣🤣
Kwani hamna mikono???
Na ninyi msituombe hela ya matumizi wala kutuomba usaidizi wowote.
Kwani hamuna nguvu/uwezo?
 
Mapovu yamewatoka🤣🤣🤣🤣
Kwani hamna mikono???
Nope ni jinsi anavyo deliver...
We unaonaje ?😆
Fact ni kuwa maumivu huwa sio ya group au pamoja, maumivu halisi huwa ni ya muhusika anaepitia.
Inawezekana anafundisha hasira na mateso yake binafsi.

Atakaefua sawa, asiefua na kumsaidia mumewe sawa vile vile kama wenyewe wanaelewana na kukubaliana, mtu mwenyewe huwa nikimcheki(sio kwa ubaya) namuona kama mtu asie na nafsi, "anakufa kabla ya kuishi"
 
Tena mwanaume akisaidia kuosha vyombo, huku mnakiss. Anakusaidia kupika huku mnakunywa zenu wine. So Romantic, hebu wasaidieni wake zenu huko. Hiyo mikono mmepewa mfanyie nini? Hakuna punda binadamu. Siku msaidizi yuko off, fanyeni kazi za home pamoja. Hakuna umwinyi.
Naona unachanganya mada au hujamuelewa huyu mwanamke.
Anachodai yeye kwamba "haitakiwi mwanamke afanye kazi za nyumbani kabisa".
Hajazungumzia kusaidiana bali amezungumzia mwanamke kumpikia na kumfulia mumewe ni kama dhambi vile.
 
Na ninyi msituombe hela ya matumizi wala kutuomba usaidizi wowote.
Kwani hamuna nguvu/uwezo?
Kuna wanawake wanajitegemea kila kitu..ana uwezo wa kujihudumia mwenyewe, kuchangia ujenzi wa nyumba, kununua gari kwa pesa yake, kuchangia ada ya watoto. Anaamka kwenda kazini saa 12 na kurudi jioni. Huyo ana haki ya kutokuhudumia mume. Ukitaka uhudumiwe gharamia kila kitu kwa asilimia mia, hutasikia mwanamke wako akiongea kama joyce kiria.
 
Nope ni jinsi anavyo deliver...
We unaonaje ?😆
Fact ni kuwa maumivu huwa sio ya group au pamoja, maumivu halisi huwa ni ya muhusika anaepitia.
Inawezekana anafundisha hasira na mateso yake binafsi.

Atakaefua sawa, asiefua na kumsaidia mumewe sawa vile vile kama wenyewe wanaelewana na kukubaliana, mtu mwenyewe huwa nikimcheki(sio kwa ubaya) namuona kama mtu asie na nafsi, "anakufa kabla ya kuishi"
Kila mtu aishi anavyoona yeye ni sawa..kama anakubali kutokuhudumiwa sawa, kama hakubali akatafute anae kubali. Hivyo tu yaani
 
Kuna wanawake wanajitegemea kila kitu..ana uwezo wa kujihudumia mwenyewe, kuchangia ujenzi wa nyumba, kununua gari kwa pesa yake, kuchangia ada ya watoto. Anaamka kwenda kazini saa 12 na kurudi jioni. Huyo ana haki ya kutokuhudumia mume. Ukitaka uhudumiwe gharamia kila kitu kwa asilimia mia, hutasikia mwanamke wako akiongea kama joyce kiria.
Wewe una uhakika gani kama Joyce alikua ahudumiwi!??
Je una uhakika gani kama wanawake wanaojiweza kifedha hawahudumii familia zao kwa kufua,kupika na kuosha vyombo?
Nina aunty yangu jaji usuluhishi wa ardhi pale Kivukoni(jina nahifadhi) na mbaka gari kapewa Land cruier V8 na mshahara mnono ila anahakikisha mahakama ikifunga kazi chakula cha jioni anapika yeye kwaajili ya familia yake,na mumewe ana kazi ya kawaida saanaaa.
Je hilo unalizungumziaje!??

Shida yenu wanawake kama panzi hamueleweki nini mnataka.
 
Anafunguka mwanaharakati.....

"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria

Natoa pole nyingi kwa mwanaume yeyote aliye na mke kama huyu mwanaharakati. View attachment 3098192
Mume wake yupo wapi?
 
Kila mtu aishi anavyoona yeye ni sawa..kama anakubali kutokuhudumiwa sawa, kama hakubali akatafute anae kubali. Hivyo tu yaani
Sasa hapo ndio umeongea.
Ila sio kumezeshana sumu kama afanyavyo huyu.
Yani ulazimishe ideology yako ifuatwe na wanawake wengine.
Maisha ya mahusiano ni makubaliano tu namna mtakavyoishi na mwenzako madame mwapeana furaha na mnaelewana.
Unakua kama Jeniffer Lopez anaimba "ain't your mama" halafu anadai huduma kwa mwanaume.
Mbona mwanaume wake hakumjibu "ain't your papa"!?
 
Matokeo ya 50/50.

I. Kila mtu ajihudumie na kujilisha mwenyewe.

II. Akizaliwa mtoto basi kila mzazi achangie huduma ya malezi ya mtoto.

III. Awepo mfanyakazi ambae ataweza kufanya usafi nyumbani ambae atalipwa na watu wote wawili.

IV. Mkitoka outing kila mtu ajilipie mwenyewe.

V. Kila mtu afanye anachokitaka ndani ya ndoa kwasababu anatumia pesa zake mwenyewe na hakuna kupangiana.

Tukienda hivi atakae athirika zaidi ni mwanamke, kwasababu wote tunajua kama wanawake ni tegemezi kwenye mambo madogo madogo ambayo huitaji zaidi support ya mwanaume.

I. Mwanaume ni mtu simple kuanzia kula, kuishi hadi usafi, Yaani kula mwanaume atakula tu hata hotelini, Usafi beki tatu atafanya nk.

II. Matumizi kwa mwanaume yatapungua kwa kiasi kikubwa tena sana.

III. Kuhusu Sex mke ukikaza kisa sijui haujisikii mara umechoka basi mwanaume atatomba nje.

Kwa mantiki hii ya 50/50 ina maana kutakuwa hakuna umuhimu wa ndoa tena hivyo vijana watatia mimba na kulea watoto tu na kuongezeka kwa wimbi kubwa la single momas.
 
Anafunguka mwanaharakati.....

"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria

Natoa pole nyingi kwa mwanaume yeyote aliye na mke kama huyu mwanaharakati. View attachment 3098192
MTIHANI HUU
 
Wewe una uhakika gani kama Joyce alikua ahudumiwi!??
Je una uhakika gani kama wanawake wanaojiweza kifedha hawahudumii familia zao kwa kufua,kupika na kuosha vyombo?
Nina aunty yangu jaji usuluhishi wa ardhi pale Kivukoni(jina nahifadhi) na mbaka gari kapewa Land cruier V8 na mshahara mnono ila anahakikisha mahakama ikifunga kazi chakula cha jioni anapika yeye kwaajili ya familia yake,na mumewe ana kazi ya kawaida saanaaa.
Je hilo unalizungumziaje!??

Shida yenu wanawake kama panzi hamueleweki nini mnataka.
Mimi sijui maisha yake wala sihitaji kuyajadili. Ninachojadili ni kauli aliyoitoa. Si lazima kumuhudumia mume, anayetaka afanye na asiyetaka asifanye. Kikubwa makubaliano...
Kama mume anaona sawa sisi ni nani tupinge?
 
Matokeo ya 50/50.

I. Kila mtu ajihudumie na kujilisha mwenyewe.

II. Akizaliwa mtoto basi kila mzazi achangie huduma ya malezi ya mtoto.

III. Awepo mfanyakazi ambae ataweza kufanya usafi nyumbani ambae atalipwa na watu wote wawili.

IV. Mkitoka outing kila mtu ajilipie mwenyewe.

V. Kila mtu afanye anachokitaka ndani ya ndoa kwasababu anatumia pesa zake mwenyewe na hakuna kupangiana.

Tukienda hivi atakae athirika zaidi ni mwanamke, kwasababu wote tunajua kama wanawake ni tegemezi kwenye mambo madogo madogo ambayo huitaji zaidi support ya mwanaume.

I. Mwanaume ni mtu simple kuanzia kula, kuishi hadi usafi, Yaani kula mwanaume atakula tu hata hotelini, Usafi beki tatu atafanya nk.

II. Matumizi kwa mwanaume yatapungua kwa kiasi kikubwa tena sana.

III. Kuhusu Sex mke ukikaza kisa sijui haujisikii mara umechoka basi mwanaume atatomba nje.

Kwa mantiki hii ya 50/50 ina maana kutakuwa hakuna umuhimu wa ndoa tena hivyo vijana watatia mimba na kulea watoto tu na kuongezeka kwa wimbi kubwa la single mamas.
Na hata athari zake zimeanza kuonekana mkuu.
Wanawake waumini wa 50/50 ama feminism wengi wao wapo kama huyo Joyce Karia.
Na wengi wao wapweke saaanaaaa.
 
Mimi sijui maisha yake wasihitaji kuyajadili. Nonachojadili ni kauli aliyoitoa. Si lazima kumuhudumia mume, anayetaka afanye na asiyetaka asifanye. Kikubwa makubaliano...
Kama mume anaona sawa sisi ni nani tupinge?
Sasa yeye hajasema kuwa "sio lazima kumhudumia mume" kasema "ni ujinga kumhudumia mume" unapoki term kitu kama ujinga it means HAKIPASWI KUFANYIKA.
Usipindishe alichosema.
 
50/50 ni vita mkuu tena ni ya uchumi kabisa kwasababu kati ya mke na mume yule mwenye uchumi mkubwa ndio mshindi and vice versa.
Mkuu mwanaume ni mwanaume tu hata kama akiwa na uwezo mdogo wa kifedha.
Nikupe mfano mdogo sana mkuu,wanawake ni watu wenye limited ability hilo halipingiki hata wao hawabishi.
Na linapotokea tatizo lolote pasi huwa ni wa kupanick na usikute wakakufata wewe mwanaume waliyekudharau uwasaidie.
Mfano mdogo ni dada yangu mdogo yani niliyemuachia ziwa,Mungu kamjaalia ana pesa kunizidi tena sana tuu.
Kajeuri kulingana na uwezo wake,ila mambo yakibuma utamsikia kaka hivi kaka vile.

Wanashindwa kuelewa kwamba kuna mambo ambayo yanahitaji UANAUME kuyatatua sio uwezo wa kifedha tu.
 
Back
Top Bottom