Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

Anafunguka mwanaharakati.....

"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria

Natoa pole nyingi kwa mwanaume yeyote aliye na mke kama huyu mwanaharakati. View attachment 3098192

hayo makucha hapana!!!!
 
Mkuu mwanaume ni mwanaume tu hata kama akiwa na uwezo mdogo wa kifedha.
Nikupe mfano mdogo sana mkuu,wanawake ni watu wenye limited ability hilo halipingiki hata wao hawabishi.
Na linapotokea tatizo lolote pasi huwa ni wa kupanick na usikute wakakufata wewe mwanaume waliyekudharau uwasaidie.
Mfano mdogo ni dada yangu mdogo yani niliyemuachia ziwa,Mungu kamjaalia ana pesa kunizidi tena sana tuu.
Kajeuri kulingana na uwezo wake,ila mambo yakibuma utamsikia kaka hivi kaka vile.

Wanashindwa kuelewa kwamba kuna mambo ambayo yanahitaji UANAUME kuyatatua sio uwezo wa kifedha tu.
Sikupingi mkuu na huo ndio uhalisia ila kwa ulimwengu wetu wa sasa mke au mume yule ambae atakuwa na uchumi mkubwa kuliko mwenzake ndio ataamua mwenzake am-treat vipi.
 
Kama kweli kuna wanawake wanafata ushauri wa huyu basi ninamashaka makubwa na utimamu wa akili zao, huyo shangingi kichwani hazijatimia
 
Anafunguka mwanaharakati.....

"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria

Natoa pole nyingi kwa mwanaume yeyote aliye na mke kama huyu mwanaharakati. View attachment 3098192
Ndio maana Kilewo alikukimbia
 
Tena mwanaume akisaidia kuosha vyombo, huku mnakiss. Anakusaidia kupika huku mnakunywa zenu wine. So Romantic, hebu wasaidieni wake zenu huko. Hiyo mikono mmepewa mfanyie nini? Hakuna punda binadamu. Siku msaidizi yuko off, fanyeni kazi za home pamoja. Hakuna umwinyi.
We unachoshauri ni tofauti na Joyce we unashauri kusaidiana kazi kitu ambacho ni haki kabisa na ni sawa,, ila Joyce anasema mwanamke asimfanyie chochote mume wake
 
Anafunguka mwanaharakati.....

"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria

Natoa pole nyingi kwa mwanaume yeyote aliye na mke kama huyu mwanaharakati. View attachment 3098192
Kwa hizo kucha mikono yote, atampikiaje mume? Na huko alikotoka mpaka kufikia hapa amesha wehuka huyu
Hata hivyo ni kweli, siku hizi wanapika mahousegirl

Mke yupo kazini anarudi jioni, atapika na kufua wikiendi labda
Atafuaje na hizo kucha sasa? Au anatumia washing machine hata kufua chupi?
 
Napenda kufua nguo za bby wangu huwa kuna kiinua mgongo kwenye trousers na mifuko ya shati.....
Kuna dada yangu alikua anapenda sana kunifulia nikaja kugundua huwa kuna chenji nilikua naziacha sasa nilichokua nafanya kila nikiacha nguo naweka na buku mfukoni, nikirudi nampa tena buku ya soda basi alikua ananiona faala kumbe ilikua ni trap
 
Wadau nimeikuta hii mahali:
Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"
~Joyce Kiria, Mwanaharakati.
huyu ndio yule women empower, hakuna man anaweza kuishi under same roof na type hii
 
Anataka wake za watu waachike huyu
Umeongea fact.
Kwakuwa yeye aliharibu ndoa yake mwenyewe, anatafuta namna ya kupeleka masaibu yake kwa wengine zaidi na zaidi. Wakati Wizara ya Ustawi wa Jamii ikiendele kupambana na kutunga Sheria za kuzuia matatizo ya Ndoa kuvunjwa OVYO kuna CHRIS MAUKI na kilaza JOYCE KIRIA wanapambana kutoa mafunzo ya Ndoa kuvunjika haraka iwezekanavyo.
Wanawake akili za kuambiwa ......
 
Back
Top Bottom