Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

Tena mwanaume akisaidia kuosha vyombo, huku mnakiss. Anakusaidia kupika huku mnakunywa zenu wine. So Romantic, hebu wasaidieni wake zenu huko. Hiyo mikono mmepewa mfanyie nini? Hakuna punda binadamu. Siku msaidizi yuko off, fanyeni kazi za home pamoja. Hakuna umwinyi.
 
Huyu ana ugwadu wa muda mrefu, hajapewa Mambo
 
Tena mwanaume akisaidia kuosha vyombo, huku mnakiss. Anakusaidia kupika huku mnakunywa zenu wine. So Romantic,
Umeongea la maana kuliko Joyce maana joy hajagusia mambo ya kisses huku umnasaidiana kazi za nyumbani bali yeye kaponda wanaume wote mshenzi huyo.
Mie nimependa ushauri wako.
 
Binafsi huwa napika jumapili nikitoka kanisani nikipata nafasi.

Jikoni ni mimi na kijana wangu wa kiume,Ila tunapika Nyama.
 
Wewe umezungumzia Mwanaume Kumsaidia Mkewe.

Ila Kiria (Mwendawazimu) Kasema Mwanaume ana mikono means kwamba Kazi za Nyumbani afanye mwenyewe.

Ilibidi pia Kuhusu Expenses za Nyumbani iwe ni 50/50 kama Ada ni M4 mbili anatoa Mke mbili Mume.

Bilis zote zipigwe pasu pasu. Ikiwa hivyo Basi ni sawa pia Tukiwekeana zamu za Kuosha Vyombo na Kufua Nguo kuwa leo nafua mimi kesho yeye.nk.
 
Umeamua kutudhihirishia kiwango cha ujinga ulichonacho. ๐Ÿ’ฏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ