Aiylan wasalan JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 730 Reaction score 1,478 Mar 5, 2025 #101 Jua ni kali buana
Iyerdoy JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 1,755 Reaction score 1,939 Mar 5, 2025 #102 Mtili wandu said: Limenitia hasara sana, hakuna mwaka nimecheki utabiri wa hali ya hewa km mwaka huu. Ekari kumi zinateketea vibaya. Click to expand... Hatuachani mbali mkuu. Ona hapa kwangu Manyara - Ni kilio aisee:
Mtili wandu said: Limenitia hasara sana, hakuna mwaka nimecheki utabiri wa hali ya hewa km mwaka huu. Ekari kumi zinateketea vibaya. Click to expand... Hatuachani mbali mkuu. Ona hapa kwangu Manyara - Ni kilio aisee:
Sozo_ JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 776 Reaction score 1,132 Mar 5, 2025 #103 Tunahitaji mvua sana