Jua Kali latawala Tanzania: Hali ya Hewa kila Mkoa na Uzoefu wako ni upi?

Jua Kali latawala Tanzania: Hali ya Hewa kila Mkoa na Uzoefu wako ni upi?

Limenitia hasara sana, hakuna mwaka nimecheki utabiri wa hali ya hewa km mwaka huu. Ekari kumi zinateketea vibaya.
Hatuachani mbali mkuu. Ona hapa kwangu Manyara - Ni kilio aisee:
IMG_20250303_135919_176.jpg
 
Back
Top Bottom