Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Mkuu wa mkoa wa Pwani bwana Abubakar Kunenge kwenye mkutano na waandishi wa habari amebainisha kuwa mnamo tarehe 31 July Rais Samia atawaongoza watanzania kuzindua mradi mwingine wa kimkakati wa bandari kavu ya Kwala.
Mradi huo ni wa aina yake kwani unatarajiwa kupunguza foleni jijini Dares salaam kwani malori mengi yanayoingia mjini kuja kuchukua makontena ,sasa yataishia bandari kavu ya kwala.
Mradi huo ni wa aina yake kwani unatarajiwa kupunguza foleni jijini Dares salaam kwani malori mengi yanayoingia mjini kuja kuchukua makontena ,sasa yataishia bandari kavu ya kwala.