Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
kila kitu anazindua. These are petty issues. Concentrate kwa mambo makubwa..... petty things/projects/issuesMkuu wa mkoa wa Pwani bwana Abubakar Kunenge kwenye mkutano na waandishi wa habari amebainisha kuwa mnamo tarehe 31 July Rais Samia atawaongoza watanzania kuzindua mradi mwingine wa kimkakati wa bandari kavu ya Kwala.
Mradi huo ni wa aina yake kwani unatarajiwa kupunguza foleni jijini Dares salaam kwani malori mengi yanayoingia mjini kuja kuchukua makontena ,sasa yataishia bandari kavu ya kwala.
View: https://youtube.com/shorts/6Sks5LawTCg?si=qfoFqhPPv9Lk1P3t
Story tu hizo. Mwendokasi na flyovers zimemaliza foleni DSM? Exactly.
Wakuu, hivi hayo Makontena huwa yanafikishwaje kwenye Bandari Kavu kutoka Bandari Kuu.?
Sawa. Ila bado tunagombania mwendokasi huku kimaraMkuu wa mkoa wa Pwani bwana Abubakar Kunenge kwenye mkutano na waandishi wa habari amebainisha kuwa mnamo tarehe 31 July Rais Samia atawaongoza watanzania kuzindua mradi mwingine wa kimkakati wa bandari kavu ya Kwala.
Mradi huo ni wa aina yake kwani unatarajiwa kupunguza foleni jijini Dares salaam kwani malori mengi yanayoingia mjini kuja kuchukua makontena ,sasa yataishia bandari kavu ya kwala.
View: https://youtube.com/shorts/6Sks5LawTCg?si=qfoFqhPPv9Lk1P3t
Sasa hayo magari yanayopeleka mizigo bandari kavu si yanasababisha foleni pia.?Kwa malori au Treni.
Kupitia treniWakuu, hivi hayo Makontena huwa yanafikishwaje kwenye Bandari Kavu kutoka Bandari Kuu.?
ππππSawa. Ila bado tunagombania mwendokasi huku kimara
ππNa malori ya kupeleka hiyo mizigo kutoka bandarini kwenda Kwara yatapitia wapi?
Barabara zenye route za Mwendo Kasi zina afadhali sana kwa upande wa foleni. Na hizi nyingine zikikamilika na mabasi ya mwendokasi yakaanza kwa route zote jijini, foleni itapungua sana.Story tu hizo. Mwendokasi na flyovers zimemaliza foleni DSM? Exactly.
NASHAURI Apande treni kuondoa foleni ya mlandizi atasababisha shida kubwa! abebe MCHONGOKO yeye na viongozi na machawa tupande twende Kwala huko! michongoko ipo seti kibao hapoMkuu wa mkoa wa Pwani bwana Abubakar Kunenge kwenye mkutano na waandishi wa habari amebainisha kuwa mnamo tarehe 31 July Rais Samia atawaongoza watanzania kuzindua mradi mwingine wa kimkakati wa bandari kavu ya Kwala.
Mradi huo ni wa aina yake kwani unatarajiwa kupunguza foleni jijini Dares salaam kwani malori mengi yanayoingia mjini kuja kuchukua makontena ,sasa yataishia bandari kavu ya kwala.
View: https://youtube.com/shorts/6Sks5LawTCg?si=qfoFqhPPv9Lk1P3t
Kiuhalisia roli haziwezi isha au kupungua kwenye huu mji.Mkuu wa mkoa wa Pwani bwana Abubakar Kunenge kwenye mkutano na waandishi wa habari amebainisha kuwa mnamo tarehe 31 July Rais Samia atawaongoza watanzania kuzindua mradi mwingine wa kimkakati wa bandari kavu ya Kwala.