Julius Nyerere (1987): Msingi wa Amani ni HAKI! Bila haki, huwezi kupata utulivu wa kisiasa

GT
Haya sasa wale wajinga wajinga ambao hamtaki kutamka.neo haki sikilizeni hii.
Kiufupi HAKI ni matendo na AMANI ni Matokeo
Mfano Heshima ni matokea lazima kuna matendo lazima uyafanye kupata heshima

View attachment 3491809
Nyerere kwa lugha ya nyumbani naweza kumwita Mbusu. Haya aliyaongea baada ya kuacha nchi. Na aliyekuwa Rais katiba ilimfanya kuwa Mungu mtu kama yeye alivyokuwa kipindi akiwa Rais. Alitakiwa abadilishe katiba kabla hajaacha uongozi. Ila hakuliona hilo.
 
Ni mnafki sana hata baada ya kuondoka madarakani akiendelea kuwa mwenyekiti wa chama ila cha ajabu mabadiliko ya katiba ya 1992 yale aliyokuwa analalamikia hakubadilisha hata ilihali kwenye majukwaa alikuwa anaendelea kuiponda katiba
 
Ndugu yangu tukitaka tuwe kama ulaya hii ndiyo historia inatakiwa kufundishwa sekondari. Hatutakiwi kusoma mambo ya ukoloni. Tunachotakiwa kusoma ni kuanzia uhuru mpaka hapa tulipo. Tukifanya hivyo tutajenga wananchi wanaojitambua na kuijua nchi yao.
 
Nyerere ni muharibifu sana wa hii nchi ni basi tu ukweli hautakwi usemwe kwa sababu tuna jamii ya wanafki
 
Huyo Mzee mpuuzi ndio aliowajaza watanzania ujinga kwa kufinya elimu kuwa kwa wachache na hivyo kuwa kundi kubwa la wajinga
 
Jifunze kujenga hoja usiwe kama mpiga debe
Ulishawi jiuliza kwanini yeye Nyerere alikuwa anaiponda katiba aliyoipitisha yeye????
Just a matter of time, hakuna Katiba nzuri ya wakati wote. Ni kwamba uzuri wa Katiba aliyoileta yeye ulikwisha pitwa ba wakati. Ile ndiyo maturity na siyo weakness.

Hence ilikuwa ni wake up call kwa waliofuata kuibadilisha katiba ile. Kumlaumu kwa katiba ile mpaka leo ni ugumba wa akili
 
Nyerere alikuwa anaiponda katiba wewe kuanzia 1985 mpaka 1990 kwa kulalamika mamlaka ya Rais
Cha ajabu mabadiliko ya katiba ya mwaka 1990 mara 2, 1992 mara 2, 1994 na 1995 hakupunguza mamlaka ya Rais bali aliendelea na wimbo ulele wa kulalamikia madaraka ya Rais

Unaiponda katiba alafu inakuja nafasi ya kubadilisha hufanyi unabadilisha mambo mengine kabisa baada ya hapo unaendelea kuiponda alafu unaona ni sawa serious
 
Nyerere kwa lugha ya nyumbani naweza kumwita Mbusu. Haya aliyaongea baada ya kuacha nchi. Na aliyekuwa Rais katiba ilimfanya kuwa Mungu mtu kama yeye alivyokuwa kipindi akiwa Rais. Alitakiwa abadilishe katiba kabla hajaacha uongozi. Ila hakuliona hilo.
Acheni hizo vijana kama Nyerere asingekuwa mzalendo angewalambisha mchanga sana maana enzi zake wajinga walikuwa wengi sana
 
Nyerere ndo architecture wa hii katiba ya mwaka 1977 ambayo ndo chanzo cha hii mess ambayo inatutesa

Sijui kwanini anapewa sifa hivyo
Nyerere genuine angekuwa mpenda haki asingekubali hii katiba iwepo
Nyerere toka ametoka madarakani mpaka Sasa inaenda miaka 40 Wewe tangia Nyerere ameondoka umefanya nini kubadilisha yale aliyokosea?
 
Just a matter of time, hakuna Katiba nzuri ya wakati wote. Ni kwamba uzuri wa Katiba aliyoileta yeye ulikwisha pitwa ba wakati. Ile ndiyo maturity na siyo weakness.

Hence ilikuwa ni wake up call kwa waliofuata kuibadilisha katiba ile. Kumlaumu kwa katiba ile mpaka leo ni ugumba wa akili
Na ni uzwazwa waulize wao wamefanya nini Nyerere huyu ambae Alidai uhuru nyie mmefanya nini? ya kumzidi mwalimu Nyerere mpaka Sasa niutumiaji vibaya wa akili kumlaumu Nyerere
 
Nyerere toka ametoka madarakani mpaka Sasa inaenda miaka 40 Wewe tangia Nyerere ameondoka umefanya nini kubadilisha yale aliyokosea?
Unajua maana ya legacy??? Nikusaidie sio kila legacy utaiondoa kirahisi
Mfano wakuu wa mikoa, na wakuu wa wilaya ni mfumo wa kikoloni ulishawahi jiuliza kwanini mpaka leo upo tunaukumbatia???
 
Nyerere ndo architecture wa hii katiba ya mwaka 1977 ambayo ndo chanzo cha hii mess ambayo inatutesa

Sijui kwanini anapewa sifa hivyo
Nyerere genuine angekuwa mpenda haki asingekubali hii katiba iwepo
Mwalimu alikuwa dikteta uchwara pure. Nashangaa leo viclip vyake vinatrend. Matendo na maneno yake haviendani. Ni mnafiki tu kama walivyo wanasiasa wengine na ndiye alitujengea hii jamii ya watu waoga na watiifu hata wadhulumiwe na kunyanyaswa vipi. Shida zote tunazopitia leo likiwemo likatiba hili libovu wa kulaumiwa ni yeye maana ndiye architect!
 
Huu Mjadala wa Nyerere bhana huwa Unanifurahisha sana. Vijana wao wakishindwa kufanya majukumu kwa Upande wao wanamtwisha ZIGO Hayati😂.... Nakubali NYERERE alikuwa na Mapungufu yake na ni kwakuwa yeye pia ni Binadamu kama ulivyo sisi tu... Ila nakataa kabisa suala la kumdhihaki na kumtupia Lawama kwa Kufeli Kwetu. Kiuwezo tu hafanani kabisa na waliofuatia lazima tumpe Heshima yake na Mwisho KABISA, Sisi tujilaumu wenyewe tu kwani Nyerere ameshapita ni zaidi ya 40 yrs Sasa kama ni Mabadiliko tungeweza kuyaleta vizuri tu lakini kwa sababu Vijana wa sasa wanapenda kila kitu WAFANYIWE huku wao wakiwa amekaa tu na kukunja 4 na wasipofanyiwa ni WALALAMISHI sana ndio Matokeo yake. Hivi nyinyi ndio mngevaa Viatu vya Nyerere Enzi hizo Tuko under Colonialism hivi mngethubutu ata kutoka FRONT kudai UHURU toka kwa Mkoloni au Mngeishia tu kuwa MACHAWA kama walivyo Vijana Currently!!!???
 
Vijana wafanyaje ilihali nafasi za maamuzi makubwa kwènye nchi wameshika wazee na watu wazima
 
Unajua maana ya legacy??? Nikusaidie sio kila legacy utaiondoa kirahisi
Mfano wakuu wa mikoa, na wakuu wa wilaya ni mfumo wa kikoloni ulishawahi jiuliza kwanini mpaka leo upo tunaukumbatia???
Ujajibu swali umefanya nini mpaka mda huu toka Nyerere ameondoka kufuta hiyo Legacy?
 
Maswali mengine ni ya kitoto sana nifanye nini nawakati sipo kwenye vyombo vya maamuzi
Unauelewa wa serikali unavyofanya kazi

Au kwa sababu upo nyuma ya keyboard unaandika tu unavyotaka
 
Back
Top Bottom