baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Sasa kwanini unamlaumu Nyerere kuna mtu amekuzuia kuingia kwenye vyombo vya maamuzi?Maswali mengine ni ya kitoto sana nifanye nini nawakati sipo kwenye vyombo vya maamuzi
Unauelewa wa serikali unavyofanya kazi
Au kwa sababu upo nyuma ya keyboard unaandika tu unavyotaka