Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Maajabu kuna mapimbi waliolishwa chuki za kisiasa na ubaguzi wa kidini wanamchukia nyerere haswa.
Hawajui bila huyo jamaa huenda hii nchi isingekalika kwa changamoto za ubaguzi wa ukanda&ukabila, bila kusahau udini,
Wapuuzi wachache wanaoamini maendeleo ya kuletewa na wazungu ndio hawa hawa wanalalamika kwanini nyerere hakuwa upande wa Mabepari na wanyonyaji, wanalalamika mpaka leo maajabu baada ya nchi kufuata huo mfumo mbona bado hayo maendeleo hakuna?
Wote wanaomlalamikia nyerere ni wale wale ambao babu zao walishiriki kuwauza ndugu zetu utumwani, pia baadhi yao ndio hawa hawa waliokuwa waoga wa kupambania uhuru badala yake wakawa wakijificha vichakani huko wakazaliana na kuleta matoto mambumbumbu yanayolalamika kila jambo, kila kitu yanaamini kitaletwa kwa kuwa chini ya mzungu.
Hawa watu ni hatari kwa Taifa hili.