Abadilike kuhusu nini hasa...au unataka aanze kuwasamehe majizi na mafisadi wanaolirudisha nyuma taifa..embu kwanza shauri unataka abadilike maeneo gani hasa..na kuhusu nini..isije ukawa umekurupuka kutamka kitu usichokijua...Hivi Magufuli anasikilizaga hotuba za Mwalimu nyerere kweli? No.
Angebadilika!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aha hii clip inahusuMmh wale wa freebasiki ngoja tunyapie nyapie kwa kusoma comments za wenye embii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika anastahili heshima ya "baba wwa taifa"
Kama aling'atuka mwaka 1985, basi nilikuwa ndiyo namalizia kunyonya maziwa ya mama!Ulikuwa na miaka mingapi wakati Nyerere anatawala..??
Arudishe 2.4 tln alizopora hazina na kutumia sehemu kununua wanasiasa malayaAbadilike kuhusu nini hasa...au unataka aanze kuwasamehe majizi na mafisadi wanaolirudisha nyuma taifa..embu kwanza shauri unataka abadilike maeneo gani hasa..na kuhusu nini..isije ukawa umekurupuka kutamka kitu usichokijua...
Aha hii clip inahusu
-uhuru wa demokrasia
Ambapo katika Uhuru huo
mwalimu amegusia
uwepo wa
Uhuru wa wabunge Kama wajumbe waliotumwa na wanachi na wasizibwe midomo.
pia,mwalimu amegusia kuhusu,
viongozi wakuu (rais) asiingilie uhuru wa habari na maoni ya watu,
kwamba ikiwa akaona Jambo fulani halimpendezi Basi hakuna haja ya kutumia
dola (jeshi) kwa kutaka kuwafanya watu watii matakwa yake kwani jeshi c lake Bali Ni la wananchi
lingine mwalimu kagusia uwepo wa wanasiasa malaya.
.akisema hii Ni Aina ya wanasiasa ambayo huwa wananunulika na pia,uweza kufanya Mambo ya ajabu/aibu kwa ajili ya maslahi yao.
mwalimu kafika mbali na kusema kuwa,Hawa wanasiasa malaya,imefikia hatua na Kuona wenzao/wengineo nao ununulika na kuenda kuwashawishi..
lakini mwalimu katoa onyo na angalizo kwa wanasiasa malaya kuwa
Mwisho wao huwa Ni MBAYA SANA.
Ni hayo TU, kiongoz
Hakika anastahili heshima ya "baba wwa taifa"
Hakika anastahili heshima ya "baba wwa taifa"
Hakika anastahili heshima ya "baba wwa taifa"
Hivi Magufuli anasikilizaga hotuba za Mwalimu nyerere kweli? No.
Angebadilika!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama aling'atuka mwaka 1985, basi nilikuwa ndiyo namalizia kunyonya maziwa ya mama!