Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

Hivi Magufuli anasikilizaga hotuba za Mwalimu nyerere kweli? No.
Angebadilika!

Sent using Jamii Forums mobile app
Abadilike kuhusu nini hasa...au unataka aanze kuwasamehe majizi na mafisadi wanaolirudisha nyuma taifa..embu kwanza shauri unataka abadilike maeneo gani hasa..na kuhusu nini..isije ukawa umekurupuka kutamka kitu usichokijua...
 
Mmh wale wa freebasiki ngoja tunyapie nyapie kwa kusoma comments za wenye embii

Sent using Jamii Forums mobile app
Aha hii clip inahusu

-uhuru wa demokrasia
Ambapo katika Uhuru huo
mwalimu amegusia
uwepo wa
Uhuru wa wabunge Kama wajumbe waliotumwa na wanachi na wasizibwe midomo.

pia,mwalimu amegusia kuhusu,
viongozi wakuu (rais) asiingilie uhuru wa habari na maoni ya watu,
kwamba ikiwa akaona Jambo fulani halimpendezi Basi hakuna haja ya kutumia
dola (jeshi) kwa kutaka kuwafanya watu watii matakwa yake kwani jeshi c lake Bali Ni la wananchi

lingine mwalimu kagusia uwepo wa wanasiasa malaya.
.akisema hii Ni Aina ya wanasiasa ambayo huwa wananunulika na pia,uweza kufanya Mambo ya ajabu/aibu kwa ajili ya maslahi yao.

mwalimu kafika mbali na kusema kuwa,Hawa wanasiasa malaya,imefikia hatua na Kuona wenzao/wengineo nao ununulika na kuenda kuwashawishi..

lakini mwalimu katoa onyo na angalizo kwa wanasiasa malaya kuwa
Mwisho wao huwa Ni MBAYA SANA.

Ni hayo TU, kiongoz
 
Ili kuutendea hali huu ujumbe wa baba wa taifa tunaomba utengeneza transcript (maandhishi ya kilichesemwa kwa sauti). Ni muhimu sana kuwa na transcript. Itawasaidia sana watanzania maskini wanaoishi kwa mlo mmoja kwa siku.
Hakika anastahili heshima ya "baba wwa taifa"
 
Katika hotuba fupi, isiyozidi dakika kumi, kajumuisha warithi wake wote ndani ya CCM.

Tokea 'malaya, malaya' wa Richmond/Escrow na madudu mengine hadi anayetumia jeshi la polisi na vyombo vyote vya ukandamizaji kama vyombo vyake kuwaziba sauti wananchi.
Wabunge na bunge lote kaliteka!

Bila shaka 'Britannica' wa CCM na wanachama wenzake wa "CCM Kasha" wataupima ujumbe huo kwa mizani stahiki.

Utabiri wa ajabu sana huu! Je, kuna utabiri wowote kuhusu 'baada' ya haya kutafuata nini? Wananchi watajitafutia ukombozi wa kweli au ndio tumekwisha?
 
Ni zaid ya utabiri. Mwalimu ni nabii wa Tanzania ambaye wengi bado hawajamtambua..kila hotuba zake zime reflect maisha ya sasa..awekwe kwenye list ya manabii
 
Abadilike kuhusu nini hasa...au unataka aanze kuwasamehe majizi na mafisadi wanaolirudisha nyuma taifa..embu kwanza shauri unataka abadilike maeneo gani hasa..na kuhusu nini..isije ukawa umekurupuka kutamka kitu usichokijua...
Arudishe 2.4 tln alizopora hazina na kutumia sehemu kununua wanasiasa malaya
 
Aha hii clip inahusu

-uhuru wa demokrasia
Ambapo katika Uhuru huo
mwalimu amegusia
uwepo wa
Uhuru wa wabunge Kama wajumbe waliotumwa na wanachi na wasizibwe midomo.

pia,mwalimu amegusia kuhusu,
viongozi wakuu (rais) asiingilie uhuru wa habari na maoni ya watu,
kwamba ikiwa akaona Jambo fulani halimpendezi Basi hakuna haja ya kutumia
dola (jeshi) kwa kutaka kuwafanya watu watii matakwa yake kwani jeshi c lake Bali Ni la wananchi

lingine mwalimu kagusia uwepo wa wanasiasa malaya.
.akisema hii Ni Aina ya wanasiasa ambayo huwa wananunulika na pia,uweza kufanya Mambo ya ajabu/aibu kwa ajili ya maslahi yao.

mwalimu kafika mbali na kusema kuwa,Hawa wanasiasa malaya,imefikia hatua na Kuona wenzao/wengineo nao ununulika na kuenda kuwashawishi..

lakini mwalimu katoa onyo na angalizo kwa wanasiasa malaya kuwa
Mwisho wao huwa Ni MBAYA SANA.

Ni hayo TU, kiongoz

MJUE LAANATULLAHI NYERERE

Hakika anastahili heshima ya "baba wwa taifa"

By Ludovick Simon Mwijage.

In January 2005, the Catholic Church in Tanzania, announced that The Vatican had given approval that, Julius Kambarage Nyerere, the country's post-independence ruler-an autocratic one as it turned out-be called 'Servant of God'.

This approval paved the way for the Catholic Church in Tanzania to commence a formal investigation process, which, if found to be above reproach, would lead to the beatification of Mr Nyerere and ultimately to the official canonisation of this 'Servant of God' thereby declaring Julius Kambarage Nyerere a saint.

However, Ludovick Simon Mwijage, contends that proclaiming Nyerere a saint would not only make mockery of the ecclesiastical tradition that has for ages been a preserve for saintly people, but would also be dishonouring the memory of those who suffered and perished under Mr Nyerere's undoubted tyranny ( also, see THE DARK SIDE OF NYERERE'S LEGACY)
 
Mfano mzuri wa mwanasiasa malaya ni polepole yeye alinunulika mara ya kwanza na alioenda kule akaanzisha sera ile ile ya kushawish kuwanunua wengne, na wale malaya weng sana walipatikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama aling'atuka mwaka 1985, basi nilikuwa ndiyo namalizia kunyonya maziwa ya mama!

Mkuu ukisoma THE DARK SIDE OF NYERERE'S LEGACY humtamani Nyerere, jamaa kaelezea karibu mambo yote maovu ya Mwalimu ambayo siku hizo yalifanywa kwa siri na kufichwa na utawala wa kidikteta wa Mwalimu, kwa kuwa Mwalimu alidhibiti vyombo vya habari vyote, hakuna aliyethubutu kuhoji, wala kujuwa undani wa maovu ya rushwa, ukatili na ukiukwaji wa haki za binaadamu uliofanana na tawala nyingi za kidikteta za kiafrika wakati huo.

Udikteta wa Nyerere wa kudhibiti wapinzani wa serikali na uhuru wa kutoa maoni na kujieleza kwa ukatili wa namna kama hizo za yaliyowakuta akina Mwijage na wenzake, umefichwa na kumfanya Nyerere asionekane mwenye mikono ya damu, lakini hakuna jambo ovu litakalofichika, kama Nyerere alifunga milango ili watanzania wasijuwe ukatili wa utawala wake, basi milango mingine ipo wazi kufunua maovu hayo.
 
Haya yanayotokea sasa hivi ni mavuno yatokanayo na mbegu ambazo Nyerere alizozipanda, kwa hiyo he knew exactly nini itakuwa mavuno yake maana yeye ndio mpandaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo hawa akina Mkapa ,Mwinyi Kikwete waliomuweka madarakani hawayaoni na kuyajua haya Mungu anawaona .
 
Back
Top Bottom