Aha hii clip inahusu
-uhuru wa demokrasia
Ambapo katika Uhuru huo
mwalimu amegusia
uwepo wa
Uhuru wa wabunge Kama wajumbe waliotumwa na wanachi na wasizibwe midomo.
pia,mwalimu amegusia kuhusu,
viongozi wakuu (rais) asiingilie uhuru wa habari na maoni ya watu,
kwamba ikiwa akaona Jambo fulani halimpendezi Basi hakuna haja ya kutumia
dola (jeshi) kwa kutaka kuwafanya watu watii matakwa yake kwani jeshi c lake Bali Ni la wananchi
lingine mwalimu kagusia uwepo wa wanasiasa malaya.
.akisema hii Ni Aina ya wanasiasa ambayo huwa wananunulika na pia,uweza kufanya Mambo ya ajabu/aibu kwa ajili ya maslahi yao.
mwalimu kafika mbali na kusema kuwa,Hawa wanasiasa malaya,imefikia hatua na Kuona wenzao/wengineo nao ununulika na kuenda kuwashawishi..
lakini mwalimu katoa onyo na angalizo kwa wanasiasa malaya kuwa
Mwisho wao huwa Ni MBAYA SANA.
Ni hayo TU, kiongoz