Pascal Mayalla,
P. na u- Kumbuka kauli hii ya mwl. Hakumaanisha wanasiasa wakuhama chama kimoja kwenda kingine(Note)
Harafu note kuwa !kipindi cha hotuba hii ya mwl nyerere hatukuwa na vyama vingi vya siasa.
Lakini pia (mayala) ujue kuwa mwl alisema wazi kuwa atawasaka mmoja mmoja mpaka waishe!
Mi nadhani nisahihi kutumia hotuba ya mwl. Kwa watu wenye tabia kama za zitto na Lissu pamoja na makundi yao ambao wapo tayari kulipwa ili kuhujum nchi bila kujari wana mhujum nani lakini pia bila kujari hata ndugu na dada zao kwalengo la maripo yapesa.
Hivyo kumuita mashinji mjinga au malaya umemkosea heshima kwa maana hujui kuwa alikubari kuwa katibu mkuu wa cdm kwa sababu na malengo yapi! Na alitumwa na nani!
Unaweza fikiri uko sawa kwa hoja na ku copy hotuba hiyo ya mwl. Na ukawavunjia heshima watu kwakuzania unavyofikiri wewe uko sawa.
Fikiri kabla ya kusema! Kama uko sahihi basi ungeanza kuwaona wajinga wapinzani wote waliotoka ccm nakwenda kuanzisha vyama vya upinzani wakiwemo nahao unaodhani niwapinzani maana nao walihama vyama.
Chamsingi hapa tukubariane kuwa watu hawa marsinary niwatu wenye tabia za zitto na lissu kwa sababu matendo yao kwa nchi hii nikama hotuba ya mwl. Alivyosema.
Isikilize upya hiyo hotuba harafu acha chuki then comment.
...................................