Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

Nyerere aliona mbali wanasiasa malaya waliosomeshwa na kodi za Watanzania sasa wanaisaliti Nchi kwa kipande cha pesa

Magufuli usiwachekee hawa wasaliti
 
Kwa hiyo Mwalimu anataka kutuambia hawa wa mabarabarani tunawaonea bure yaani kuna wale malaya konkodi.....

Mwalimu bana, pumzika pema baba yetu haya maono yako si ya kawaida... ulikuwa unaona mbali sana - yaani mi nilijua umalaya ni namna ya mtu kuuza kipande cha mwili kwa mwenzake alaa kumbe si hivyo tu. wapo wa aina nyininge..duh...!!
 
Hilo neno Malaya Mwalimu sijui ame lisema mara ngapi ,inaelekea alichukia kweli kweli
Amelimka mara nyingi sana and in a bad way and a bad tone, wakati kiukweli this is the oldest profession na ndio ajira inayoongoza kwa kuajiri watu wengi zaidi duniani all the time.

The commodity inayohusika kwenye biashara hii is the same and the services are the same ila inaitwa kwa majina tofauti.

Kuna watu wenye bahati, the fortunate ones ni wale ambao anatokea mteja ananunua kwa bei ya jumla, fedha za manunuzi ya jumla huitwa mahari, na mhusika huitwa mke.

The unfortunate ones, wanauza rejareja, hawa ndio wanaitwa majina mabaya.

P
 
Kitendo cha kununulika tayari umekubali kupokea rushwa,

Unategemea nini kwa kiongozi mla rushwa yupo kimaslahi zaidi , hawafai kwa uongozi ni wa kuogopa kama Ukoma.
 
Pascal Mayalla,
P. na u- Kumbuka kauli hii ya mwl. Hakumaanisha wanasiasa wakuhama chama kimoja kwenda kingine(Note)

Harafu note kuwa !kipindi cha hotuba hii ya mwl nyerere hatukuwa na vyama vingi vya siasa.

Lakini pia (mayala) ujue kuwa mwl alisema wazi kuwa atawasaka mmoja mmoja mpaka waishe!
Mi nadhani nisahihi kutumia hotuba ya mwl. Kwa watu wenye tabia kama za zitto na Lissu pamoja na makundi yao ambao wapo tayari kulipwa ili kuhujum nchi bila kujari wana mhujum nani lakini pia bila kujari hata ndugu na dada zao kwalengo la maripo yapesa.

Hivyo kumuita mashinji mjinga au malaya umemkosea heshima kwa maana hujui kuwa alikubari kuwa katibu mkuu wa cdm kwa sababu na malengo yapi! Na alitumwa na nani!

Unaweza fikiri uko sawa kwa hoja na ku copy hotuba hiyo ya mwl. Na ukawavunjia heshima watu kwakuzania unavyofikiri wewe uko sawa.

Fikiri kabla ya kusema! Kama uko sahihi basi ungeanza kuwaona wajinga wapinzani wote waliotoka ccm nakwenda kuanzisha vyama vya upinzani wakiwemo nahao unaodhani niwapinzani maana nao walihama vyama.

Chamsingi hapa tukubariane kuwa watu hawa marsinary niwatu wenye tabia za zitto na lissu kwa sababu matendo yao kwa nchi hii nikama hotuba ya mwl. Alivyosema.

Isikilize upya hiyo hotuba harafu acha chuki then comment.
...................................
 
Uzi niliomjibu p.mayala urudisheni! Asidanganye watu kwa kutumia hotuba ya mwl.

P. Muombe radhi mashinji kwa kumuita mjinga! Maana xule anakuzidi lkn hata hotuba ya mwl. Umetumia ushabiki kumtukana mashinj na wanao hama vyama.

Ungeanza kuwatukana viongozi wte waupinzani maana wote walihama vyama. Kama hujui tz hatuna vyama vya siasa vya kuleta maendereo zaidi ya ccm japo mi si mwana CCM.

Sababu nikwamba! Huwezi kuwa mwanasiasa wa kuhujum nchi yako ambayo mama yako na baba yk pamoja na ndg zako wanaishi.

Siasa za akina zitto na lissu na tabia zs wanasiasa marsenary au malaya malaya alowasema mwl.
Kuhama chama nihaki kikatiba! Lakini kusariti nchi cyo haki mbinguni na duniank hata nyumbani kwako.

Hata wao wapinzani walitumia haki yao kuanzisha vyama na wengine kuhamia vyama vingine, kunawaliotoka CCM kwenda CHADEMA, NCCR Mageuzi, UDP, cuf, na chadema kwenda cuf au chadema kwenda ACT wazarendo hawa wote cyo malaya malaya km unavyodhania.
Maraya maraya alosema mwl. Ni tabia za zitto na lissu kusariti nchi kwa lengo la kupata pesa! Rejea upya hotuba hiyo
Waambi jamaa zako wanaofuta post zangu waache kufuta na hii tena maana mmefuta mbili.

Mashinji angekuwa malaya au mjinga km ulivyodai basi angekuwa mjinga mdogo sana kuliko viongozi wte waliohama ccm na kwenda kuanzisha vyama vya siasa
Au waliotoka kwenye vyama pinzani na ccm nakwenda vyama vingine au kuanzisha vyama

Mfano nyaranduu je!
Mashinji na lowasaaa na kundi lake wale walikuwa na kazi maarum ndani ya chadema kwahiyo kazi yao wamemaliza tena kwa mafanikio makubwa ndo maana unashuhudia chadema kila siku watu wanaondoka nawataondoka mpaka usiowayarajia.

........................................
 
Masanjaone,
Mkuu Masanja One, nimekusikia, jf ni user generated forum, members wote humu ni sawa, hakuna jamaa wa mtu humu, ila jf inaendeshwa kwa mujibu wa rules na regulations tulizojiwekea, ukikiuka uzi wako unafutwa, hata mimi kuna vitu huwa naposti na zinafutwa. Pole.

Kwa vile hizo post zako mbili ulizonijibu, zimefutwa kabla sijaziona, nitumie inbox ulichojibu ili kinifikie.
P
 
Ila hawa wanasiasa malaya wamezidi awamu hii...NJAA mbaya sana...

Pumzika Mwalimu, daima tutaziishi hotuba zako, hazichoshi...

Everyday is Saturday... 😎
 
Na hawa malaya kila siku wanapokelewa CCM na bashiru na Polepole
 
Back
Top Bottom