Dividend
JF-Expert Member
- Jan 15, 2017
- 2,102
- 3,343
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alijua Malaya kama Mzito Kabwela hawatakosekanaukisikia manabii ndo huyu nyerere!hadi nimesisimka
Amelimka mara nyingi sana and in a bad way and a bad tone, wakati kiukweli this is the oldest profession na ndio ajira inayoongoza kwa kuajiri watu wengi zaidi duniani all the time.Hilo neno Malaya Mwalimu sijui ame lisema mara ngapi ,inaelekea alichukia kweli kweli
Mpaka mwisho wa maisha yangu,nitaendelea kumheshimu sana Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.Hakika anastahili heshima ya "baba wwa taifa"