Upande wa Mrisho Mpoto ambao huwa unamuweka Dizasta ni upi?
Au ile style yake ya kufanya spoken words juu ya biti zilizokosa drums ( Hatia 1, 2 & Ndoano) ndo ilokufanya umuweke huo upande?
Au ndio upande unaowaweka wasanii ambao tungo zao ni nzito kwa ubongo wako?
Na unapotushangaa sisi kumuweka Dizasta upande wa MCs unataka tumuweke upande gani? Sikia wewe Rayvanny, Dizasta is the beast, ana heshima ya kila anaejitambua kwenye hii culture... Na hakuna mtu anaifanya vema art ya storytelling hapa bongo zaidi yake (sikiliza mfululizo wa nyimbo za Hatia 1 - 4).... Kuhusu majigambo msikilize kwenye NIS 1 -4.
Unaposema story za D zipo "... So direct... " unaweza kusema mfano story gani? Na unamaanisha za huyo Juma hazipo direct kwamba ana ufundi gani zaidi ya Dizasta? [emoji28][emoji28]
We jamaa put some respect on Dee's damn name... Endeleeni kupagawa na hizo rap katuni na wazee wenzenu huku kwingine tuachie wenyewe.
Next time ukisikiliza nyimbo za Dizasta usiwe umevuta mimoshi au kunywa chibuku.