Juma Nature ndio best storyteller wa muda wote Bongo. Wasanii wachanga mnao-rap jifunzeni kwa Juma Nature

Juma Nature ndio best storyteller wa muda wote Bongo. Wasanii wachanga mnao-rap jifunzeni kwa Juma Nature

Binafsi storytelling za Nature nazozikubali ni Inaniuma sana na Mtoto Iddy

Ila kuna hawa wa kuitwa Daz Nundazi wenye BARUA na MKASA WA BOSS, hawa walikuwa timamu sana
mzee wa busara
 
Sikusema nae nilipomuona ufukweni
nakuoniona
Nataka msapraizi bebi gel aahhh
Kuna mtu ,mwingine akaja mshika bega kabla yangu
Mara simama nashangaa wakaanza kukisi na bebi wangu
Daily kisailensa nagubikwa machozi nikimuona mchumbaaa mmhhh
Wakarudia tena kwa mara ya pili
Nikashindwa vumilia nkaenda zanguuuu
Jifiche kufanya unarudi unanizuga
staki kuona zaidi mlivyofanya laivuuu
nisije jirusha maji ya shingo nikadanji kwa kudaivuuu
..................................

Matokeo yanapogeuka kua kweliiii
yu mjanja kushinda nimjuavyo yu tapeliiii
mpenzi nikila nae dina anatabasamu like kaficha upizi wake nyuma....
alisema nakupenda nyiingiii zikanilevya
kiasi akikohoa mi natemaaaa
Kipato changu kidogo dogo kinaishia kwake
Na mapenzi motoo kukosa penz lako naona ka ni ndoto
Nisingependa kushare na mtu penzi lakoo
unieleze nimekukoseaga niiiiniiiiiiii...

Najua utasema mi ndo chanzo maaaa
Ingawa ningejua mapema ningechange laivuu
For the sake of fala fangalau pata picture
Baada ya mi kushtuki pichaaaa

Ni kitu gani hasa kilichofanya mpk mimi ukaniachaaa aaa x2
Nimeshamuachia molaaaa aaa
Aendelee kuamua juu ya mapendo niliyonayo juu yakoooo........
 
Tangia storytelling ipite, sijawahi kuuelewa muziki wa bongo.
 
[emoji441][emoji441][emoji443][emoji443]nashangaa!! Nashangaa!! Nikimuonaaaa[emoji443][emoji443][emoji441][emoji441]

Nakumbuka kibwagizo cha nyimbo hii ya juma nature
Lakini nyimbo siikumbuki.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mtoto Iddy huyo kazua balaa😅
 
*Nyambizi-Dully
Mkiwa - ft Ferooz
Nikusaidieje-Prof Jay
Hataki -Jose Mtambo
Kinyumenyume -Mox
Bongo Daresaaalam -Ft Jide
Bwana misosi - Ntoke vipi
Mandojo & Domokaya ft. Nature - Niaje
Ngwair - Mademu wangu
Noorah ft FA - Unanitega
 
Sikusema nae nilipomuona ufukweni
nakuoniona
Nataka msapraizi bebi gel aahhh
Kuna mtu ,mwingine akaja mshika bega kabla yangu
Mara simama nashangaa wakaanza kukisi na bebi wangu
Daily kisailensa nagubikwa machozi nikimuona mchumbaaa mmhhh
Wakarudia tena kwa mara ya pili
Nikashindwa vumilia nkaenda zanguuuu
Jifiche kufanya unarudi unanizuga
staki kuona zaidi mlivyofanya laivuuu
nisije jirusha maji ya shingo nikadanji kwa kudaivuuu
..................................

Matokeo yanapogeuka kua kweliiii
yu mjanja kushinda nimjuavyo yu tapeliiii
mpenzi nikila nae dina anatabasamu like kaficha upizi wake nyuma....
alisema nakupenda nyiingiii zikanilevya
kiasi akikohoa mi natemaaaa
Kipato changu kidogo dogo kinaishia kwake
Na mapenzi motoo kukosa penz lako naona ka ni ndoto
Nisingependa kushare na mtu penzi lakoo
unieleze nimekukoseaga niiiiniiiiiiii...

Najua utasema mi ndo chanzo maaaa
Ingawa ningejua mapema ningechange laivuu
For the sake of fala fangalau pata picture
Baada ya mi kushtuki pichaaaa

Ni kitu gani hasa kilichofanya mpk mimi ukaniachaaa aaa x2
Nimeshamuachia molaaaa aaa
Aendelee kuamua juu ya mapendo niliyonayo juu yakoooo........
Domo Kaya huyu??
 
[emoji523] Kwa sasa amna anaeweza kutoa kazi nchi ikashituka vipi kuhusu =Rapcha-Lissa

[emoji523] Kwa upande wangu MCs na storyteller bora kuwahi kutokea bongo ni Dizasta Vina

Haipiti siku bila kumsikiza jamaa-blaq maradona
-HATIA series
-KANISA
-TATTOO YA ASILI
-SIKU MBAYA
-MWANAJUA
-KIBABU NA KIBINTI [emoji28][emoji23]
-ALMASI -(humu kamuimba Simba)
-MONEY [emoji1430]

Bonus track :NO body ia Safe 3&4

Huyu jamaa ningekuwa na uwezo ngempa gari,nikamfungulia studio afu kila weekend anakuja home anapiga live tuna imba wote,maana nyimbo zake zote nmezikalili kama ABC [emoji28][emoji28]

DIZASTA NI MKALI SANA..[emoji91][emoji122][emoji122]
 
Well uko sahihi audience na content anayotoa ni vitu viwili tofauti. Tamaduni Muzik, Kikosi Kazi, Ghetto Ambassador, Dizasta Vina and the likes wanaimba "ngumu sana" yaani zile nyimbo ambazo unatumia akili sana kung'amua lyrics na verse zake., kitu ambacho kwa wabongo walaji (fans) hawataki kuumiza kichwa... Wanataka ile kitu inachezeka kidogo na inasound

Na kwa upande wa media baadhi ndio wanasupport hizi kazi zao na tena unakuta wanaziplay kidogo sana tofauti na hizi nyimbo simple tu na hata kule mjini youtube viewers ni wachache mno sana kwa hiyo ndio sometimes wanaganga njaa kwa whatsapp na email hivyohivyo kibishi

Halafu EMcees wengine wameona ni bora waswitch style kutoka hardcore kwenda laini kwa sababu ya soko ndio linatoka hivyo, ukiimba ngumu utaishia kusikiliza huko ghetto na huko vilingeni kwenu lakini kuja kutoboa sahau! Ni wachache sana wanaoweza kutoa hit ambayo itatikisa Tz nzima kila mahali inachezwa
Mzee wa kuwahi siti kwani ngosha alikuwa n mistari miepesi.. Mbona alitoboa na mistari yake hiyo hiyo ya kuumiza kichwa, huyu na yule kisha fid.com kisha mwanza mwanza hapo ndipo alipotoka kisha August 13, humo mote mistari konzi.
Msikilize nature kwenye hili gemu kaimba mistari kuelewa ama kuisikia vizuri itabidi utulie lakini akatoboa

Hawa vijana kuna mahali wanakosea huo ndio uhalisia.
 
Appreciated, Thanks....
 
[emoji441][emoji441][emoji443][emoji443]nashangaa!! Nashangaa!! Nikimuonaaaa[emoji443][emoji443][emoji441][emoji441]

Nakumbuka kibwagizo cha nyimbo hii ya juma nature
Lakini nyimbo siikumbuki.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Niaje - Mandojo & Domokaya ft Juma Nature
 
Back
Top Bottom