Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
DIZASTA VINA ANASIKILIZWA KWENYE WHATSAPP?Atoe kwanza muziki wenye impact, muziki wa kusikilizwa na mitaa. Sio hiyo miziki ya kuuuza kwenye WhatsApp.
Hapo sasa mkuuDIZASTA VINA ANASIKILIZWA KWENYE WHATSAPP?
[emoji523] Kwa sasa amna anaeweza kutoa kazi nchi ikashituka vipi kuhusu =Rapcha-Lissa
[emoji523] Kwa upande wangu MCs na storyteller bora kuwahi kutokea bongo ni Dizasta Vina
Jamaa anasema eti dizasta ni msanii wa WhatsApp[emoji523] Kwa sasa amna anaeweza kutoa kazi nchi ikashituka vipi kuhusu =Rapcha-Lissa
[emoji523] Kwa upande wangu MCs na storyteller bora kuwahi kutokea bongo ni Dizasta Vina
Jamaa anatupanga au anamchukiaHapo sasa mkuu
Kikunda cha University Corner kukisusia kati game niuonevu!Tukiachana na Rap
kwenye Makundi Daz nundaz na TMK walitisha
Mkuu nisaidie na mimi hapoDIZASTA VINA ANASIKILIZWA KWENYE WHATSAPP?
Well uko sahihi audience na content anayotoa ni vitu viwili tofauti. Tamaduni Muzik, Kikosi Kazi, Ghetto Ambassador, Dizasta Vina and the likes wanaimba "ngumu sana" yaani zile nyimbo ambazo unatumia akili sana kung'amua lyrics na verse zake., kitu ambacho kwa wabongo walaji (fans) hawataki kuumiza kichwa... Wanataka ile kitu inachezeka kidogo na inasoundMkuu nisaidie na mimi hapo
Sinaga muda wa kudownload nyimbo ila huwa nazisikia kwenye Tv/Radio na sehemu za starehe
Mfano tuchukulie wana Hip Hop wa zama hizi
Ngoma kama Wapolo, am leaving my life, Si wanataka kubang ππ, Maisha na Muziki, na nyimbo za Mcs kibao kama Young Lunya, msodoki nk nk zikitoka tu utazisikia radio na kwenye tv muda wote, ukipanda bajaji au dalala utazisikia, ukienda club ndio usiseme, ukiingia saluni au simu za vijana utazikuta, ukienda youtube unakuta viewers 1m+
Ukija sasa kwa hawa Mcs ambao wanasifiwa sana sana humu JF kama Akina Dizasta, Nikki Mbishi, Rapcha. nk nk nyimbo zao huwa zinapigwa wapi? Hazisikiki radioni au kwa uchache sana ukitoka, huzi sikii club, bajaji, saloon, wala kusikia labda Rapcha ana shows mikoani nk
Ukienda youtube unakuta viewers wachache sana
Cha ajabu ni kwamba wala nyimbo zao hazina matusi sana kama kabda za Lunya
Ukitembelea page zao sasa unakuta wana wafuasi wachache lakini wanavyo wanwagia sifa ni balaa
Na wengi wao kazi yao ni kupost kuponda akina Lunya na wengine wanaokimbiza mainstream
Na wengi wao wanauza nyimbo zao kwa Whatsap
Tatizo ni nini
Nahisi kunatatizo kwa hawa jamaa
Ndio maana wengi tunaona wanasikilizwa Whatsap
Kwa mtu kama mimi ambaye sina muda wa kudownload nyimbo nategemea Media zipige ndio niujue wimbo na kuupenda au la, hawa jamaa hawana nafasi kwangu
Trust me mkuu hivi ndivyo soko la muziki lilivyo........ kuusikia wimbo kwenye media kisha unakua mkubwa
Sisemi kama hawajui kuimba, hapana
Ila post hii wanachakujifunza, Enzi hizo Mcs walikua wasomi au walioishi mbele kama kundi la KWANZA UNITY, Nature alichofanya aka connect na uswazi wake watu wakamuelewa..... alikimbiza vibaya sana
Ni lazima ujue pia hadhira yako inataka nini badala ya kukomaa na culture ambayo hata wamarekani wenyewe imewashinda
Eti "... Skills hana wala mistari ya maana... "Huyo dizasta akaandike kitabu hii ni sanaa huwezi kufanya delivery kama unatusomea kitabu.
Skills hana wala mistari ya maana.
Wewe utakuwa wale masela wanajiita watunza misingi [emoji23][emoji23]
Yule ni mwandishi wa vitabu talent yake ipo uko, huu ni muziki uwezi kutuletea manyimbo yana part 1 mpaka part 8 ukimsikiliza kama unaperuzi kurasa ππππEti "... Skills hana wala mistari ya maana... "
Labda kama unaongea kinyumenyume.
Weka lyrics yake mkuuKila zama ni kitabu chake... Ngoja nikasikiliza wachuja nafaka - ya leo kali
Barua- Daz babaBoss alikuwa ferouz mwenyewe na Nature na solothang, Daz Nunda ni Barua na Kamanda.
Kasikilize kiberiti nyimbo ya fid q, hiyo juzi.. Au tafuta nyimbo yake yeyote... Sikiliza.. Ndio utajua hip hop ni nini....Kwenye muziki wa hiphop bongo hakujawahi kutokea msanii mwenye nguvu kama Juma Nature.
Juma Nature aliingia kwenye muziki akaukuta umejaa umarekani mwingi na akaubadilisha mchezo kabisa. Silaha yake kubwa ilikuwa ni storytelling.
Ipo wazi Juma Nature ndio bingwa wa storytelling kibongobongo. Alianza na story ya kigheto ghetto mpaka simulizi za ex wake Sinta. Na alivutia kwa sababu alitumia ucheshi na lugha za uswazi.
Kwa sasa muziki wa bongo unafanya vizuri kwenye waimbaji ila upande wa rap ni kama umekufa. Kwa sasa hawezi simama rapa akachana nchi ikastuka.
Shida kubwa marapa wa sasa wamewekeza kwenye mistari konde yani ufundi wa kugeuza geuza mashairi na wengine wameingia kwenye trap wanajikuta kina Dababy au Migos hakuna localisation.
MCs wadogo jifunzeni kwa Juma Nature aliingia kwenye game na silaha yake kubwa ilikuwa kuelezea story haswa za uswazi. Aliisimamisha mitaa akawa jina la mchezo.
Jifunzeni storytelling... hakuna mwanadamu anayeweza kuukwepa mtego wa story kila binadamu anapenda kusikia visa mbalimbali.
FA alitupa kisa cha aliyekufa kwa ngoma... Profesa akatuletea mwanasiasa muongo muongo kwenye ndio mzee... Ngwea akatupa story za ghetto lake.... J Mo akatupa mawili matatu kuhusu mabalaa ya mvua na jua...Nature ndio aliua kabisa akatusimulia Mzee wa Busara, Drama za Sinta. Mtoto Iddi nk
Hii ndio siri pekee nataka niwape vijana wadogo mnaoingia kwenye muziki wa hiphop kama mnataka kutengeneza pesa...Hakikisha unachokiandika hata yule beki tatu anaeosha vyombo nyumbani anaweza kuvutiwa na kukiimba.
Maisha ya binadamu ni hadithi.
Lakini msiandike story kama mtu anasoma kitabu cha Shigongo. Andaeni content zenye ubunifu wa kimuziki. Hii ndio siri ya Juma Nature kuubadili mchezo na akaibeba Temeke mabegani, Storytelling.
Akitokea storyteller wa rap kuna pesa yake nyingi sana ya kubadilisha maisha yako na family yako.
Hakuna kitu unaweza nifundisha wewe kuhusu hiphop, hapa bongo hiphop imepokelewa sebuleni kwetu.Kasikilize kiberiti nyimbo ya fid q, hiyo juzi.. Au tafuta nyimbo yake yeyote... Sikiliza.. Ndio utajua hip hop ni nini....