Mimi naweza kusema kuwa akili za Nkamia ni sawa na za wale waliompatia kura.Kondoa kuna warangi na hili kabila halina ufahamu wowote juu ya demokrasia na vyama vingi.Kuna watu wengi sana katika kabila hili wanasema wamelelewa na ccm na wengine wanasema wamezaliwa na ccm.Yaani kwa ujumla ni watu wasiojitambua.Usimhusishe Nkamia na watu wa Kondoa. Nimehusika na watu wa Kondoa nyakati fulani enzi hizo. IQ yao ni ya juu na sidhani wanaweza kushabikia mada za mtindo huu zinazoletwa na huyo Nkamia.
Mtanzania ambaye hatokuwa tiyari kuipigania nchi yake na katiba yake ni yule tu atakayenufaika na mpango huu wa kijinga na yeye yuko pamoja na hawa madikteta wanaotaka kufia madarakani!Damu itakayo mwagika ni ya kwako tu mkuu, watanzania hatupo tayari kumwaga damu. usitake kutuaminisha mawazo yako yasiyo na ukweli wowote. Rais amejitokeza hadharani na kusema wazi bila kuuma maneno kuwa hana mpango wa kujiongezea muda, hao wanaopiga kelele watachoka wenyewe maana mlengwa ameshakataa. Kama unahamu ya kuona damu inamwagika basi mwaga ya familia yako, tuache na nchi yetu tuishi kwa amani.
Anza kumwaga damu ya mama yako tuone kama uko seriousWadau ni matumaini yangu kuwa sote tumeamka salama na tunajiandaa na majukumu yetu ya kila siku.Nimeona leo nitoe mawazo yangu juu ya huu mpango uliosukwa na kina Polepole na chama chake wa kudai Rais aongezewe muda wa kuongoza kutoka miaka 5 mpaka miaka 7. Huu mpango ni mpango wa chama cha mapinduzi uliosukwa na baadhi ya viongozi wastaafu na walioko madarakani na kuwatumia watu baki ambao ni wanachama wa ccm kuusema kwa watu na mbele ya waandishi wa habari ili waweze kuona upepo utakuwaje.
Watu kama Musiba, Nkamia and co ni baadhi ya wajinga waliokubali kutumiwa na ccm kueneza huo ujinga wa mtu kutaka kuibadilisha katiba kwa masrahi yake.Huku Polepole akiwa anajifanya kuwa Rais hapendezwi na huo mjadala ili watu wenye akili chache wawaamini kwa hayo maneno yao.
Tunajua mnao wabunge wengi wanaoweza kufanya mtakavyo lakini kwa hili Tanzania itamwaga damu na huyo mtu wenu ndo utakuwa mwisho wake.Msitufanye watanzania ni mazuzu kiasi hicho.
Mwambie ATUBU
Akili zako ni sawa na za Nkamia na Musiba!Damu inamwagwa na nani na ya nani? Nilifikiri unataka maoni yetu juu ya ama inafaa au haifai kuwa na muhula wa miaka saba au kubaki na mihula tuliyonayo na badala yake unatwambia habari za kumwaga damu? Ulaaniwe!!!
Peleka pumba zako huko....una uhakika mambo yapo poa!? Una uhakika hawatamani demokrasia???Kama asilimia zaidi ya hamsini ya majirani zetu wamebadili mfumo, je sisi Tanzania ni kisiwa? Kama vyama vya upinzani vinakufa, hamuoni haja hiyo ya kuondoa ukomo wa urais? Mbona huko Cuba, Rusia, China mambo poa? Tutafakari mara 2!
Wewe upo tayari? Emu jitokeze basi uanze kumwaga hiyo damu tukuone! Acha kujificha nyuma ya keyboardMtanzania ambaye hatokuwa tiyari kuipigania nchi yake na katiba yake ni yule tu atakayenufaika na mpango huu wa kijinga na yeye yuko pamoja na hawa madikteta wanaotaka kufia madarakani!
Huu ni mpango wa ccm chini ya uratibu wa mwenyekiti wao ukubali usikubali ndo mpango mzima.Bado wanawatumia kina Nkamia na Musiba kuliongelea kwenye mitandao na vyombo vya habari ili waone mwamko wa watu juu ya huo mpango.Hii ni kutokana na kuwepo na baadhi ya wazee wastaafu wasiokubaliana na huo mpango?Usihamasishe kumwaga damu kwa mambo yasiyokuwepo.
Hauko makini, tena wewe ni wale wenye ubongo wenye thamani kubwa sana sokoni. Ungejaribu hata kulinganisha lugha iliyotumika (ingawa kwa kuwa na akili hizi ningeweza pia kukudanganya) kama ni ya Nkamia. Mi huyu mtu zaidi ya utangazaji wa mpira hata simjui vyema.Unawez ukawa wewe ndio Nkamia mwenyewe.
Ukikamia issue uwe na akili basi ya ku present.
~Huna data za kuback up mawazo hayo yako ya chumbani kwako.
~Ndio maana watu wnahisi umetumwa.
~Hela za uchaguzi ni kiasi gani,
~wananchi wangapi wana kuunga mkono
~Hilo wazo lako limeibuliwa kivipi hasa, au ni wazo la mkeo?
Usitupe ujinga wa kuwa hili ni swali la kisiasa, huku ukilisha wnanchi ujinga utokanao na ubinafsi.
Anza na jimboni kwako uzunguke kudai ukae miaka mitano mingine, pengine wananchi jimboni kwako watakuelewa.
Twende mbali zaidi.
Kwa mtu makini, mwenye kichwa kilicho sawasawa angeanza na katiba mpya.
Katiba ambayo inaweka bayana uwajibikaji wa Rais na wabunge kwa wananchi, pindipo kuna jinai au poor perfomance.
Kwa akili duni ya Nkamia hilo wala halizungumziwi.
Kwako issue ni kuongeza ulaji tu.
Mtu mwenye kichwa kilichoenda shule, angedai si katiba mpya tu bali na kuimarisha taasisi za dola zisitegemee nani yupo madarakani, bali zifanye kazi kwa maadili na udhabiti wa kimfumo.
Mkapa alijitahidi kstika hilo, alileta TANROADS na TRA, na sasa Magufuli kaleta TARURA.
Hiyo ndio mifumo dhabiti inayoendelea hata kama Marais wake watapita.
Nkamia inabidi si tu aende shule, bali awe na uwezo wa kiakili kuelewa mantiki hiyo.
Siyo kweli. Kondoa imekuwa ngome ya CUF kwa kipindi kirefu sana na hata mkutano mkuu wa CUF uliwahi kufanyikia pale miaka ya nyuma wakati CUF ikiwa na nguvu sana. Kwa hiyo wana ufahamu wa Demokrasia na vyama vingi. Mawazo ya Nkamia nadiriki kusema si ya wapiga kura wake bali yake binafsi au ya hao waliomtuma.Mimi naweza kusema kuwa akili za Nkamia ni sawa na za wale waliompatia kura.Kondoa kuna warangi na hili kabila halina ufahamu wowote juu ya demokrasia na vyama vingi.Kuna watu wengi sana katika kabila hili wanasema wamelelewa na ccm na wengine wanasema wamezaliwa na ccm.Yaani kwa ujumla ni watu wasiojitambua.
Sasa ndo umeandika nini?ata mwaga vp damu Kama raisi yupo pamoja na mawazo ya mtoa mada.tulia watu waongee yao ya moyoniDamu itakayo mwagika ni ya kwako tu mkuu, watanzania hatupo tayari kumwaga damu. usitake kutuaminisha mawazo yako yasiyo na ukweli wowote. Rais amejitokeza hadharani na kusema wazi bila kuuma maneno kuwa hana mpango wa kujiongezea muda, hao wanaopiga kelele watachoka wenyewe maana mlengwa ameshakataa. Kama unahamu ya kuona damu inamwagika basi mwaga ya familia yako, tuache na nchi yetu tuishi kwa amani.
Nkamia anajua kaɓisa kaɓisa kwamɓa huo ni mchongo wao.Ɓaadaƴe itaungwa mkono na maccm menzie.Magu mwenƴewe haeleweki aƙiamƙa anasahau kama aliwahi kukataa kwamɓa hapenɗi kuongezewa muɗaHuyu analazimisha kupendwa wakati hapendeki na akili yake ndiyo kwanza inaendelea kumdanganya