Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

Huu ni Mchakato wa Kidemokrasia tuache uoga!

Tujenge hoja za kuukubali au kuukataa sio kukataza Watu kuwa na Mawazo ya muhula wa Miaka 7

Hata Miaka mitano haijatoka kwa Mwenyezimungu ni mawazo ya Watu
Kunamambo ya muhimu ya kujadili kwenye hili taifa tena yanayo lenga masilahi ya taifa siyo tujadili matumbo ya watu na tamaa za madalaka.
 
Kunamambo ya muhimu ya kujadili kwenye hili taifa tena yanayo lenga masilahi ya taifa siyo tujadili matumbo ya watu na tamaa za madalaka.
Demokrasia haina wigo wa kujadili mambo

Wewe umachoona cha Muhimu sio lazima wote waone muhimu, na unachoona sio cha muhimu kuna wenzio wanaona cha muhimu

Kwa kuwa Mjadala sio compulsory ukiona jambo sio la muhimu usijadili Acha wanaohisi ni muhimu wajadili
 
Asante nawewe umeona zile blah blah za kwamba hataki mjadala wa kuongeza muda niili kupunguza Joto huku wakitumiwa wapumbavu kumlilia badae atakuja na Hitimisho wananchi wamemtaka abaki kwaakili kama hizi kwanini TRUMP asiSHINE
 
Hata Kama ni Mpango wa CCM sio Tatizo kwa kuwa na Vyama vingine pia Vina Mipango Yao
 
Kwastaili hii shithole africa inatuhusu tena*2
 
Wewe upo tayari? Emu jitokeze basi uanze kumwaga hiyo damu tukuone! Acha kujificha nyuma ya keyboard

Lisemwalo lipo kama halipo lipo nyuma linakuja.Si mpenda vurugu lakini kwa hili la akina Nkamia linatakiwa lipigwe stop
 
Sasa ndo umeandika nini?ata mwaga vp damu Kama raisi yupo pamoja na mawazo ya mtoa mada.tulia watu waongee yao ya moyoni
Kama mna taka kuongee tokezen hadharani acheni kuonge nyuma ya keyboard! Shida ya watu walioshindwa maisha hutaka kutumia nguvu kukabiriana na maisha bila kujua wanacho kabiliana nacho kama kinataka nguvu au akili, nakuhakikishia damu itakayo mwagika ni yako na mtoa mada. Kama mnabisha semeni haya hadharani
 
Acheni kufijiri ujinga nani kakwambia Mtu mmoja kukaa Madarakani ndio Uchumi utaKUA
 
Lisemwalo lipo kama halipo lipo nyuma linakuja.Si mpenda vurugu lakini kwa hili la akina Nkamia linatakiwa lipigwe stop
Sikatai damu inaweza kumwagika lkn itakuwa yako na ya wenye akili mbaya kama zako
 
Lisemwalo lipo kama halipo lipo nyuma linakuja.Si mpenda vurugu lakini kwa hili la akina Nkamia linatakiwa lipigwe stop
Ikisemwa Lowassa anarudi CCM maana yake ......
 
Baada tu ya kuhojiwa na BBC na akasema tofauti na boss wake,boss wake alitakiwa kwanza kumfutia uanachama, ila ukimya wa boss wao inaonesha wazi kuwa kuna jambo nyuma ya pazia. Boss anataka pengine awe wa maisha
Huyo anatumika kama Mpira wa Kitandani mwenyewe amesema hapendi kuongeza lengo nikuzuga Bongolala muda ukifika utasikia wanaNchi wameomba nibaki nakule mjengoni kama unavyojua Viuongo wanavyotumia kufikiri....
 
Ulichonikera ni kuhamasisha umwagaji Damu kwa msingi wa mawazo yako bila kuthibitisha ukweli wa jambo
 
Kama asilimia zaidi ya hamsini ya majirani zetu wamebadili mfumo, je sisi Tanzania ni kisiwa? Kama vyama vya upinzani vinakufa, hamuoni haja hiyo ya kuondoa ukomo wa urais? Mbona huko Cuba, Rusia, China mambo poa? Tutafakari mara 2!
Ukiangalia nchi jirani zilizobadili na kuondoa ukomo wa madaraka , hali zao si nzuri. Na viongozi wao wamefanya hivyo kwa tamaa ya kubaki madarakani. Mwishowe huwa wanakuja kuondoshwa kwanguvu, eg mugabe.
 
Kitendo cha mwenuekiti wake kusema hataki huo mjadala uendelee halafu yeye bado anauendeleza tayari huo ni ukosefu wa nidhamu. Chama kinatakiwa kimpe adhabu
 
Siasa na unafiki ni chanda na pete!Kuna Mkuu mmoja alikuwa kwenye tume katiba ya Warioba ukimsikiliza kauli zake baada ya kuula kijanini huwezi amini kama ni yeye.Kwa IQ yangu ndogo huo ni mkakati.
Adui namba 1 wa Nchi hii ni Ccm
 
Mbaya zaidi Makao makuu ni huko huko
 
Unafiki naunazi hautalipeleka hili taifa mbele kamwe.watu mmekengeuka mnaiacha kweli tutalijenga vpi hilitaifa kwa mijadala ya walafi wa madalaka?

unaacha kujadili tatzo la maji safi,vilimo bola,ukuzaji wa vipaji namengineyo mnatuletea mijadala yakuminya demokrsia nakuongeza mda wamadaraka.

Watu hamumuogopi ata mungu kinamama wanakufa ovyo mda wakujifungua mkobize nakumpigia debe mtu flani atawale milele.nilini tutaongelea maendeleo kwajili yakizazi kijacho?

ACHENI UNAFIKI HILI TAIFA NILETU WOTE SIYO MJIONE NYIE NIBOLA KISA MMESHIKA MADARAKA.
 
Kitendo cha mwenuekiti wake kusema hataki huo mjadala uendelee halafu yeye bado anauendeleza tayari huo ni ukosefu wa nidhamu. Chama kinatakiwa kimpe adhabu
Hakuna Mwenyekiti aliekataa huyo anaBARAKA zote kutoka namba moja!
 
Huyu ngamia sijui kamia, ukienda jimbo lake ni uvundo mtupu, majuzi kulikuwa na mafuriko badala ya kufanya harambee kuzaidia wananchi wake yeye yuko na miaka 7 ya uraisi (nadhani itakuwa na ubunge pia). Kusema kweli hapa ndio naona kwanini Mfalme Suleiman aliomba hekima na busara! Poleni sana wananchi wa Chemba na amkeni sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…