Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

IQ yako nindogo kiuelewa rudia kusoma nilicho andika.
 
CCM ijitokeze hadharani kuelezea huu mpango wao.
Maajabu na ubinafsi wakiwa kama watumwaji,ndo maana hawachukuliwi hatua,wakitaka kubadili katiba wabadili katiba nzima tupate katiba mpya pendekezi sio kipengele cha kipande tu cha katiba cha mambo ya ukomo.Hii kitu wananchi atuikubali.Maendeleo hayaletwi kwa mda gani unakaa madarakani bali utasi na dhamira ya kweli ya kiongozi.
 
Wafanye hata miaka 10 wakitaka
Maajabu na ubinafsi wakiwa kama watumwaji,ndo maana hawachukuliwi hatua,wakitaka kubadili katiba wabadili katiba nzima tupate katiba mpya pendekezi sio kipengele cha kipande tu cha katiba cha mambo ya ukomo.Hii kitu wananchi atuikubali.Maendeleo hayaletwi kwa mda gani unakaa madarakani bali utasi na dhamira ya kweli ya kiongozi.
 
Ukiona 'mbwa anabweka' sana ni kati ya haya mawili;
  1. Yupo karibu na 'mwenye mbwa' AU
  2. Yupo 'nyumbani' kwako.
 
Nchi zenye hio mifumo ya kubadlisha katiba ili viongozi wakae muda mrefu, ndio zinatukanwa leo hii kwa kukosa maendelea, Uraisi si mchezo, unatakiwa ujiandae vya kutosha, uwe na uzoefu na uwe na vipao mbele vyako na namna ya kuvifanikisha kwani unajua una mda fulani wa kufanikisha hivyo vipaumbele, viongozi ni binadamu kawaida, ukiwapa muda mrefu wanalala na hawataleta maendeleo yeyote, ndio maana wenzetu waliondelea waliweka ukomo na kujenda taasisi imara ambazo haziingiliwi na siasa, ili ziweze kuendeleza mazuri ya viongozi waliopita na kuondoa mabaya ya viongozi waliopita, Angalia USA walivyofanya mabadiliko kwenye kodi, kwa muda mfupi na kuleta matokeo chanya kwa haraka, hapa kwetu nilisikia ahadi hizi 2015 sijui kama kodi ilipunguzwa na kuondoa kodi ambazo ni kero na zinazoua biashara.
 
Unaweza kukuta hata Mh Rais kukataa ni mbinu ili isije kuonekana yeye ndiye ali initiate akaonekana ame breach Constitution kwa hiyo kihherere nkhamia anatumwa kwakuwa Spika Ndugai siwakukataa yule ni mashine ya kupitisha mambo!
Perfect.
 
Sikatai damu inaweza kumwagika lkn itakuwa yako na ya wenye akili mbaya kama zako

Hujanielewa,rafiki,nimekueleza vizuri tu japo mimi si mpenzi wa vurugu au mauaji lakini ukiona watu wanaonewa sana basi lazima uwasikilize vingine chochote cha weza kutokea ndiyo maana ya methali.

Usimuonee sana binadamu kwa sababu siku akikasirika anaweza kufanya lolote.
 
Ikisemwa Lowassa anarudi CCM maana yake ......

HAhahhahahahahahahh niletee Dompo maana siku hiyo itakuwa sherehe kubwa huku kwetu yule anayevuruga upinzani karudi kwa nyumba yaani kule kwa 'MAFISADI' wenzake ooooooooooooooops kumbe Mukullu ameishamsafisha am sory
 
Unajua kutongoza kuko kwa aina nyingi, ila kumtuma mshkaji akutongozee ni mbinu za kizamani sana.
 
Halafu akishatoka? Au mnataka akae milele? Na je, akishakufa?
 
Kuna sehemu yule dada mtangazaji ilibidi acheke sana baada ya Nkamia kutoa maelezo
 
Nakuunga mkono.
Huyu mtu ni mchochezi kweli kweli.

Dunia nzima kuna vita na vurugu kwenye nchi ambazo viongozi wake wamejiongezea muda wa kukaa madarakani.

Na hili liko wazi sana.
Vurugu zote kwenye nchi maskini zinatokana na uroho wa viongozi au wapambe wao kutaka wakae muda mrefu madarakani.

Huyu Mbunge anataka kuliingiza taifa kwenye mjadala usio na tija.
Kuna mambo mengi sana ya kushughulikia sio muda wa kukaa madarakani.

Kama mtu anapenda kukaa muda mrefu madarakani basi atafute kazi nyingine lakini sio siasa.

Ni kweli siasa inatumia fedha nyingi sana lakini ndio msingi wa utawala bora unaofuata sheria tuliojiwekea na pia uwajibikaji unaongezeka.

Masuala mazima ya utawala ,bunge,ulinzi mahakama n.k. ni masuala yenye gharama kubwa sana katika nchi yoyote duniani.
Utawala na bunge tumeyawekea muda wa miaka 5 yawe yanafanyiwa uchaguzi ili wananchi wapime viongozi na wabunge wao kama wametekeleza yale waliyoahidi.

Kukwepa gharama kati haya masuala yanayogusa amani ya nchi ni sawa na kulea jipu.
Hatutaki kukaa na viongozi mpaka tuwachoke bali tunataka tuwape muda wa ama kuendelea au kukaa pembeni kwa sababu ya uwajibikaji wao.
Uchaguzi unasimamiwa na watanzania wenyewe ambao ndio walipa kodi kwa hiyo suala la uchaguzi pia linawanufaisha watanzania kupata fedha na mzunguko wa fedha kuongezeka kwa kutokana na ajira za muda ama za kudumu za wasimamizi wa uchaguzi.

Tumuunge mkono rais na kumpuuza Mkamia na walioko nyuma yake wanaotaka kuliingiza taifa kwenye migogoro ya kisiasa.
Kuna vijana wengi wa vyama vyote wanaosubiri 2020 ili wajaribu bahati yao ya kupata hiyo ajira ya ubunge na udiwani waboreshe maisha yao na hao wakina Mkamia wastaafu mana wamesha kule mpaka uwaziri. Kama hawajajipanga basi wasubiri kuona wale UVCCM na BAVICHA wakichukua majimbo 2020 na wazee waliochoka wakae pembeni.

Hili vijana walipinge kwa nguvu zote bila kujali vyama mana linawaumiza wao huku wale wanaolipigania wakiwa wameshashiba vya kutosha.

Kiongozi mwadilifu kabisa hawezi kung"ang"ania madarakani hata siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…