johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #141
Nimekuelewa sanaTundu lissu amepigwa risasi na chadema wenzie issue ya uenyekiti,alphonso mawazo waulize watu wake wa karibu hakua na matatizo ben saanane Mbowe anajua zaidi jamaa yuko wapi anzory kwani alikua ni mwanachama wa chadema?waajiri wake wanayo majibu!
sweeping satatements . only a stupid person can sayTundu lissu amepigwa risasi na chadema wenzie issue ya uenyekiti,alphonso mawazo waulize watu wake wa karibu hakua na matatizo ben saanane Mbowe anajua zaidi jamaa yuko wapi anzory kwani alikua ni mwanachama wa chadema?waajiri wake wanayo majibu!
Yanayoendelea ndani ya chadema ukihadithiwa wala usingeandika haya!Kwa nini mlishindwa kuwafunga kama walimpiga Tundu Lisu risasi,hiyo inaonyesha udhaifu wenu kiuongozi na kisiasa kwa sababu mlikuwa mnapambana na kesi za uchochezi tu lakini uharifu mwingine hamkuwa na haja nao.
Hapana mkuu alikuwa anafafanua jinsi wateuliwa wengi wa ccm walivyo.Kipindi rais fulani akiwa madarakani ni mapambio na misifa kibao akishatoka tena wanabadilika na kuunga yule aliyepo madarakani na kumponda vilivyo yule waliyekuwa wanamsifia.Angekaa kimya angepungukiwa na Nini?
Mimi sifanyiii kazi HEARSAY RUMORS mimi ninachofanyia kazi ni current issues na visible issues.Kwa muktadha huo yanayoendelea ndani ya CHADEMA sina taarifa nayo zaidi ya uzushi kutoka upande wa pili.Yanayoendelea ndani ya chadema ukihadithiwa wala usingeandika haya!
Mtu mpuuzi pekee ndio anaweza kuuliza maswali ya kipuuzi!sweeping satatements . only a stupid person can say
Hakuna binadam aliekamilika. Hivyo mtu yoyote akikosolewa kwa mabaya yake siwezi kumtetea.Upo sawa ila kwenye upumbavu hatuwezi kunyamaza pia
Siasa hizi kijana.. Hata kwa Lowasa tuliaminishwa yasiokuwa ya kweli.Mambo makubwa ya kudhulumu haki za watu kuishi!?
Vibaraka wa Magufuri mpo tayari kuvuja damu ila ukweli wa maovu ya Magufuri hamtaki.Siasa hizi kijana.. Hata kwa Lowasa tuliaminishwa yasiokuwa ya kweli.
Japo sijui umri wako, lkn inajulikana wazi kuwa ni mtoto wa miaka 14 pekee, tena yule asiefahamu propaganda uchwara za nchi hii ndo anaweza kukubaliana na hiki ulichokiandika.
Upuuzi mtupu.Ni kweli jiwe kafanya makubwa yakutisha sana. Ameua, ameteka, amefilisi na alipga watu risasi. In short mjinga huyu alilinajisi taifa.
Asante sana Nkamia kwa kusema ukweli.
Mkuu soma comment yangu namba #152. Utanielewa.Vibaraka wa Magufuri mpo tayari kuvuja damu ila ukweli wa maovu ya Magufuri hamtaki.
Sawa.Umeeleweka mkuu.Mkuu soma comment yangu namba #152. Utanielewa.
Sintapinga mabaya yake kama kutakuwa na facts za kueleweka. Hii ya kukubali kumshutumu mtu bila kuwa na uhakika wa 100 kwa 100 juu ya kile anachoshutumiwa mtu, ndo kilipelekea Lowasa adhalilishwe, atukanwe, achekwe, aonekane fisadi papa na mtu asiefaa katika jamii kwa muda wa miaka takribani 7.
Toka 2008 hadi 2015 alipopewa tiketi ya kugombea uraisi na wale wale waliomdhalilisha, ndo tulipokuja kugundua au kuambiwa kuwa jamaa (Lowasa) hakuwa fisadi kama walivyokuwa wanasema.
So i learnt from there. Siwezi kukubali kila ninachosikia unless mtu anipe prove ya kueleweka katika akili yangu.
Shukran ndugu yangu 🙏Sawa.Umeeleweka mkuu.