Jumba la kifahari la Mbowe.
View attachment 2813278
Mama yake Alphonce Mawazo kwenye nyumba ya Udongo.
View attachment 2813276
View attachment 2813281
Lazima tujifunze kitu hapa.
Familia ya Mbowe ilifanya kazi kwa bidii sana hadi kuweka misingi bora kwa
Jumba la kifahari la Mbowe.
View attachment 2813278
Mama yake Alphonce Mawazo kwenye nyumba ya Udongo.
View attachment 2813276
View attachment 2813281
Lazima tujifunze kitu hapa.
Familia ya Mbowe ilifanya kazi kwa bidii, kuwekeza kwenye biashara na kufanya kazi kwa bidii. Sasa nyie mliozoea kupewa mnatoa mawazo ya kijinga jinga. Ukikaa na kutegemea bahati utakufa maskini, acheni wivu wa kijinga ninyi.

Kumbe ninyi ni wale wale mliokuwa mkipewa usimamizi wa mali ya umma mnaiba pesa za wananchi. Msione wivu, lazima kuwe na matajiri na maskini....Formula ni rahisi sana, ukikaa ukitegemea ndugu au usaidiwe utabaki maskini lakini ukifanya kazi zako kwa akili utafika mbali sana.
 
Asante sana umemaliza, ongezea na familia ya Kikwete, akina Ridhiwani waliofilisi nchi.
 
<Mbona hamsimi kuhusu Chenge? Mbona hamsemi kuhusu Musukuma? Mbona hamsemi kuhusu Lazaro Nyalandu? wapumbavu nyie, yoyote anaye-comment against Mbowe ni mpumbavu na ni kichaaa, shenzi
 
Mbowe ni mfanyabiashara hili haliwezi kutushangaza kwa mantiki ambayo wanaizungumza. Ila kama kuna viashiria vya ubadhirifu ktk ruzuku ambayo chama kinapewa labda tuanzie hapo ila kusema kajenga kwa hela zipi hapo hoja dhaifu.
 
Dogo,
Mbowe hana njaa kama wewe.

Kabla Tanganyika haijapata uhuru babaake Freeman Mbowe alikuwa tajiri, na ni kati ya watu waliomsaidia Nyerere kifedha kwenye harakati za kutafuta uhuru.

Muulize Ole Sabaya aliharibu kwa makusudi green house ngapi za Mbowe huko wilayani Hai.
 
Inasemekana hii ni nyumba ya kijijini kwake 😀 😀
 
Umasikini wa akili na mali mbaya sana.
 
Shida yenu ninyi mkitoka kijijini imeisha hiyo hamtaki kabisa kupaendeleza kwenu
lakini sisi kabla ya
kutoka unaambiwa kwako pale ndio utazikiwa hapo sasa kwa nini usipajenge?
Mambo yote ni ubatiri hapa Duniani! Mfano Wewe hapo ni mpumbavu lkn bado huo ni ubatiri!
 
Huyu mashambwa ni jitu shamba kuanzia kwenye ubongo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…