Mbowe ni mjasiliamali wa Miaka mingi, amerithi pia Mali toka kwa Baba, amekuwa Mbunge kwa Miaka mingi na nyadhifa kadhaa amekuwa nazo, ndio ushangae kuwa na nyumba hiyo?

Kuna mahali ripoti ya CAG imeeleza pesa inaliwa CHADEMA?

Huu ni umaskini wa akili.
 


Mwaka unaisha huu bado mnaendekeza tabia za ki maskini
 


Watanzania hawaelewi kuna familia ambazo zina mfumo wa utajiri kwa vizazi na vizazi na huwezi kuwaletea umasikini kwa kuwanyanyasa wala kuchukuwa mali zao! kwasababu ya madaraka. Familia kama za Dewji, Bush, Kennedy... ni mifano tu. Wna akili zao na ongeza za mifumo. Watu wengi hawajui kampuni za mbowe zilihamisha makao makuu kutoka Tanzania kwenda Dubai wakati wa Mwendazake. Huko pesa ni za kihalali. Lema naye anaunda mfumo wake awe kama Mbowe na familia yao
 
Kwanza pole jana hukuwa na taarifa za kikao cha siri pili taarifa za ndani walio karibu na mwenyewe eti ni ile B10 aliyokodisha chama kwa mamvi!
 
Acha uongo,

Hii nyumba nimeanza kazi 2015 Nimeikuta inajengwa,nimehama mwaka Jana,bado inajengwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…